Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

Mkiwa na raia wengi sana ndan ya nchi at the end of the day mnageuka kuwa cheap labours

Just imagine ndan ya miaka 10 tu wamezaliwa na kuongezeka raia zaidi 16ml
Control population you control the economy
Acha uwongo wewe, makadirio ya sensa 2012 ilikuwa ni jumla ya wa-TZ M 60, na sensa 2022 ni M 61, sasa huoni karibuni kwa zaidi ya miaka 10 wamezaliwa wa-TZ M 1 tu?

Au unachangamsha genge tu?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Nakushauri kama una laki 3 nenda tandika kuna kampuni inaitwa WATU LTD wanatoa pikipiki kwa njia ya mkopo ila kianzio lazima uwe na laki 3.
Marejesho kwa siku unapeleka elfu 7500 ila wao wanataka marejesho kwa wiki ambayo ni 50500,mkataba ni kwa muda wa miezi 15 ambayo ni sawa na mil 3,300,000 .
Vigezo uwe na barua kutoka serikali yako ya mtaa,uwe na tin number,uwe na mdhamini mmoja mwenye leseni ya udereva au kitambulisho cha nida tu ukikamilisha kila kitu pikipiki unapata siku hiyo hiyo.
Ukipata pikipiki tafuta smartphone ya bei rahisi jiunge na huduma ya bolt,Uber na in drive bro pesa utakayopiga hutoamini .
Kuna vijana ni degree holder niliwashauri hivyo leo hii hawana muda na ajira pesa wanayoingiza mwalimu akasome
 
Unaweza laza ngapi per day baada ya kutoa matumizi na hela ya boss?
 
Ila mawinga wengine tamaa, kuna sehemu nilienda naijua bei ya kitu husika, winga kajifanya ndo mwenye duka bei mara 3 ya bei husika nikaamua kusepa
 
Unaweza laza ngapi per day baada ya kutoa matumizi na hela ya boss?
Bolt wana perce25
Unaweza laza ngapi per day baada ya kutoa matumizi na hela ya boss?
Bolt wanakata asilimia 25 ya pesa utakayopakia abiria,mfano abiria ame request route ya elfu 2 bolt ya kwao ni 500 bodaboda ya kwako ni 1500.
Mfano kwa siku umebeba abiria 20
20*1500.=30,000 na kwa bodaboda wa mjini kubeba abiria 20 kwa siku ni jambo la kawaida,Sasa ukiwa na kampuni tatu bolt,Uber na indrive kwa siku utakuwa unaingiza kiasi gani?
 
Back
Top Bottom