Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora kazi ya kuuza usingizi kuliko kazi za jehanamu(viwandani)Bora kufanya home derivary yaani kuwasogezea watu mahitaji yao home kwa kuweka aibu pembeni na kufungia vyeti kabatini,kuliko kwenda kuungua na uji wa chuma kiwandani au kupinda mgongo kwa kusomba sementi kwa ujira wa nauli na chakula huku ukiuza sura.
Hawa jamaa utumia Sana udhaifu wa cheap labour na mamlaka zilizolala.
Kwa nchi za kinyonyaji na sio kwa nchi ambazo ni civilized wao hio principal haina nguvu.Kuna mwalimu wetu mmoja wa literature alikuwa anatuambia principle ya kuajili ili uendelee ni hii
1..Make them work hard ( wafanye kazi kwa nguvu)
2.. Pay them little ( Walipe kidogo/ujira mdogo)
3.. If they complain say nothing ( Kama watalalamika usijibu chochote/ kaa kimya)
Habarini ndugu wana JamiiForums,
Hivi kiwanda cha Bakharesa pale Buguruni ni uhakika kupata kazi ya kibarua ukiwa na barua ya utambulisho wa makazi?
Na hivi wanalipa kwa siku au wiki?
Nchi nyingi za kiafrika kama Tanzania ndio principal hii. Unyonyaji mtu unatumia nguvu kubwa kuproduce halafu malipo ni kidogo.Kwa nchi za kinyonyaji na sio kwa nchi ambazo ni civilized wao hio principal haina nguvu.
Ndio maana dada zako wameamua kudanga kwa bei nafuu, wanafanya delivery chumba mpaka chumba right?Bora kufanya home derivary yaani kuwasogezea watu mahitaji yao home kwa kuweka aibu pembeni na kufungia vyeti kabatini,kuliko kwenda kuungua na uji wa chuma kiwandani au kupinda mgongo kwa kusomba sementi kwa ujira wa nauli na chakula huku ukiuza sura.
Hawa jamaa utumia Sana udhaifu wa cheap labour na mamlaka zilizolala.
Emu elezea hii kidogo mkuu kuna kijana yupo pale daah anarudi amechoka balaa,Nenda tu hapo SSB wanapotengeneza Pepsi,
Kwann waharibu miii yao, biashara zipo tele bila kudangaNdio maana dada zako wameamua kudanga kwa bei nafuu, wanafanya delivery chumba mpaka chumba right?
Kazi za viwandNi bata ulaya huwa malipo kidogoTunyamaze yaliyopo viwandani kwa hawa wanaojiita matajiri na kujifanya wanapenda dini na kutoa misaada bora kubaki kimya.
Maana uwezi kulipa ujira mzuri kila mtu.
viwanda au kampuni yoyote kubwa idadi wanayo lipwa vizuri iwezi kufika hata 100.
Tena Azam ndio kabisa
Mkuu Tafuta kazi za Ujenzi katika site wanalipa 15k don't waste ur energy in fucking Job viwandani na hautapa kituHivyo hata kesho nikiwahi naweza pata?
Inashangaza sana,Mama ntilie anamlipa mfanyakazi wake vizuri na bado anampa chakula bure!
sio kweliHakuna kazi pale. Pale mnalipwa buku 4. Na ukila chakula buku maji jero inabaki 2500/= toa nauli 1000. Inabaki 1500 ndio unaiacha kwako
bunju buguluni iende iludi 1200 kula 1500 maji 1000 malipo 4000 inauma sana lakini siamini kama kweli wanalipa sh 4000 nijuacho vibalua ulipwa 8000 kwa sikuNafuta wanayolipa kwa siku ili nipate na nauli kwenye huo ujira maana nipo BUNJU