Bila msosikuna kimoja kinaitwa PrinceWare, kipo Kipawa, 6k kwa siku ila kuingia ni saa 12 asubuhi, ukizidi hapo geti linafungwa, kutoka saa 2 usiku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila msosikuna kimoja kinaitwa PrinceWare, kipo Kipawa, 6k kwa siku ila kuingia ni saa 12 asubuhi, ukizidi hapo geti linafungwa, kutoka saa 2 usiku
Huko viwandani wafanyakazi wasio manual laborers mfano mafundi mitambo maslahi yao pia ni madogo ??Sasa kuna miamba wanapiga kila siku , nchi hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],mno yanayofanyika humo viwandani yanatisha sana ,nimewahi fanya kazi kiwandani kama fundi mitambo so ninaelewa balaa wanapokutana nalo manual labourers , ni hatari zaidi ya hatari
Wapi uko mkuu?Kuna sehemu kazi ni 6700 kwa siku naijua wanahitaji watu mara kwa mara
Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
Daaaah hahahahahahahaKuna jamaa yangu aliona makaratasi ya ajira viwandani wamebandika katika nguzo za umeme mshahara kwa wiki ni laki 275,000/= .jamaa akajitosa akawahi asubuhi saa 12 yupo getini kufika mida ya saa 5 asubuhi namuona jamaa huyu hapa gheto namuuliza mbona umewahi kurudi mapema yote hii kulikoni?
Jamaa akaniambia brother acha tu uliona wapi watu wawili mmekabidhiwa Lori scania 10 zimejaa mzigo wa gypsum board muushushe mzigo wote kwa siku moja?[emoji2]
Jamaa alipiga kazi mpaka saa 5 asubuhi alivyoona hakuna dalili ya mzigo kuisha akaamua kutoroka.
Iyo 8 unamaanisha saa nane mchana au saa mbili usiku?Lakini pia waweza kwenda pale millennium business Park shekilango, Kuna kiwanda Cha biskuti wanalipa 5k kuanzia saa 12 Hadi 8, kikubwa uwahi tu
Kuna mwalimu wetu mmoja wa literature alikuwa anatuambia principle ya kuajili ili uendelee ni hiiTatizo ni usomi hafifu. Hili suala la ajira lilifanuliwa vizuri na Carl Max na Angels. Wakasema faida ya tajiri ni kile kiasi anachomyonya mfanyakazi.
Mengine nendeeni.
Ilishanzungumzwa miaka 300 zamani
TrueYani angalau mtu kipato kisishuke elf 50 kwa siku.
Unakuta watu wa mamlaka hawajui gharama za mafuta ya kula, sabuni wala unga wao hupelekewa tu home. Ili wauchune tu. Hio ndio tabia halisi ya mtanzania akipata cheo, ubinafsi kwanza.Hao mamlaka si ndio wakiingia viwandani si ndio utoka na bahasha plus ndoo za mafuta, sabuni,viroba vya Mchele na sukari atakukumbuka wewe kweli
Kule hata manunda wanakimbia😀 jamaa ananambia uji wa chuma huu hapa , wewe unapiga mzigo hapa (Metro Steel cha Jeti Lumo )
alienda siku moja tu