Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

bunju buguluni iende iludi 1200 kula 1500 maji 1000 malipo 4000 inauma sana lakini siamini kama kweli wanalipa sh 4000 nijuacho vibalua ulipwa 8000 kwa siku

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mo vingunguti mwaka Juzi alikuwa analipa 3500,azam mkuranga 4500, darling kongowe 5000,camel cement mbagala 5000, mission mbagala textile mills 4000.
Wakulipe elfu 8 wanakupenda sana au?
 
Yaani pesa unayolipwa kwa wiki Ulaya unalipwa kwa lisaa.
Ulaya unakamata Kati ya dola 16 hadi 25 kwa saa ( 36000/= hadi 60000/=)
Hakika tulifanya makosa Sana kudai UHURU
Mimi kila siku hua nasema hivi wakulaumiwa ni Nyerere na mashoga zake waliojifanya kudai Uhuru Hali ya kua bado sanaaa tungeewaacha wazungu mpaka miaka ya 2015 hivi tungekua parefu sanaaa yaaan
 
Mm Hali hiyo ninaipitia Kwa Sasa Lakin siwez kumruhusu kiumbe Hai mwenzagu akafanye kazi kufa na kupona kama ileee. Bora afanye singeli tu
tatizo serikali inawakumbatia matajiri kisa wanalipa kodi viwanda vinanyoyo watu lakini kuna mkuu wa mkoa waziri wa ajira na vijana wote hao wamelala tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuonyesha udumavu wetu wa akili hata kuzipata tu hizo nafasi ni mtihani za kugombea plus bado ujabaguliwa kisa dini yako kupitia jina lako
 
tatizo sio matajiri bali ni selikali

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
pole sana watu tunapitia mengi kwenye maisha yetu tambua ukiona shida zina kusonga ambazo si za kujitakia tambua kuwa mbele yako kuna jambo zuli linakuja

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Tafuta kazi za Ujenzi katika site wanalipa 15k don't waste ur energy in fucking Job viwandani na hautapa kitu

Mimi nimefanya hizo naelewa , Then ilikuwa natafta Ada kulipa Mitihani form six , lakini katika ujenzi ndo utapata hela
Sawa mkuu
 
Hata wafanyakazi wa kampuni za usafi zaidi ya kuuza sura ulipwa Kati ya laki na 20 hadi 50 tena baada ya siku 40 hadi 50 na awapewi yote ukopwa nusu nyingine uambiwa mwezi ujao. Kazi masaa 10 kwa siku, SAwa na elf 4 kwa siku.
Walinzi hizi kampuni za wastaafu wa jeshi Hakuna anaelipwa zaidi ya laki unusu kwa mwezi nao urushwa mwezi Ili wasiache kazi. Palikuwa na jamaa anakaa airport dar lindo lipo mikocheni anakanyaga kwa mguu kwenda na kurudi job, mshahara laki moja baada ya siku 40.Ukimchek kaulamba mkanda nje kisa tu akae mjini. Wakati kijijini angefanya makubwa kupitia kufyatua tofali za kuchoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…