Graduate since 2017
Member
- Jun 15, 2020
- 24
- 90
Asante sana mkuuKwa Dodoma sasaivi vibarua vya ujenzi vipo vingi sana,Unaweza kujaribu napo uko
Acha Bro. Ni hatari sana! Mpaka tunaiacha hii Adhri tunapitia meng sana binadamuumeandika kwa hisia sana mkuu.
Mimi sio bro mkuu😄😄😄.Ila yote katika yote, hatupaswi kukata tamaa. Mtaani tuko wengi wenye hali kama yako.Acha Bro.... Ni hatari Sana!! Mpaka tunaiacha hii Adhri tunapitia meng Sana binadamu
Ukiona hali imekuwa mbaya sana jua umekaribia kufanikiwaMimi sio bro mkuu😄😄😄.Ila yote katika yote, hatupaswi kukata tamaa. Mtaani tuko wengi wenye hali kama yako.