Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Matokeo bado hayajatangazwa ila Godbless Lema anashangilia na kucheza pamoja na wajumbe mbalimbali.
Soma: Lema afunguka baada ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA, Mbowe ni kaka yangu ila Lissu ni bora zaidi wakati huu
Boniface Jacob maarufu Boni Yai, ambaye alikuwa wakala wa mgombea Freeman Mbowe katika kinyang’anyiro cha uenyekiti Chadema wakati akitoka katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam leo Jumatano, Januari 22, 2025 kabla ya matokeo rasmi kutangazwa.
Soma, Pia: