Pre GE2025 Vibe la Godbless Lema baada ya kumalizika kuhesabiwa kura Uchaguzi wa CHADEMA

Pre GE2025 Vibe la Godbless Lema baada ya kumalizika kuhesabiwa kura Uchaguzi wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Attachments

  • IMG-20250122-WA0003.jpg
    IMG-20250122-WA0003.jpg
    32.4 KB · Views: 2
Toa upuuzi wako hapa.
Wapuuzi na wapumbavu ni nyie na hao vibaraka wenu.

Mlifika mbali na kusema watu wamepewa hela na kwamba Serikali itaingulia uchaguzi,yaani Serikali iingilie uchaguzi wa kachama la watu wasiojielewa kisa Kibaraka Lisu?

Huyo Lisu si alikuwa Rais wa TLS,amekuwa Makamu wenu Kuna jipya alifanya kuitisha Serikali? Acheni kuwa wapumbavu nyie nyumbu .
 
Mkuu vip tena mbona umekuwa mkali? Lissu kashinda mitandaoni tu
 
Kimsingi Mbowe ana chakujivunia kushiriki na kuisimamia demokrasia bila mawenge.Bravo Mbowe kwa kazi kubwa kuifikisha hapo CDM na hii ni pamoja na Lissu.
Nawashangaa sana Wafuasi wa kibaraka Lisu na Lema kwamba walihitaji kumchafua Mbowe na Rais Ili wao washinde.

Kimsingi Samia ni muungwana ilitakiwa huyo mtu wenu awe anashinda kwenye kesi na Serikali Kwa sababu za mdomo mchafu.

Mbowe ametokea familia yenye hela uchaguzi sio swala la matter of life kwake ndio maana ameweka uwazi na transparency Toka Mwanzo Hadi Sasa.

Imeonesha maneno ya kina Lisu yalikuwa ni upuuzi na nonsense
 
Mtamkumbuka Mbowe.huyo lisu ni mgonjwa wa akili
 
Mkuu vip tena mbona umekuwa mkali? Lissu kashinda mitandaoni tu
Sio mkali Bali nilitarajia atashinda hata hivyo Wana ccm kutoa maoni Yao ya nani wanapenda ashinde Wala sio kuingilia uchaguzi ni sawa tuu na mtu kusema napenda Kamala au Trump ashinde.

Kambi ya kibaraka Lisu imetumia matusi na kuchagua sana viongozi wenzake na Rais ,Samia asingekuwa muungwana huyo bwana alitakiwa awe anashinda kwenye kesi .
 
Wakuu

Matokeo bado hayajatangazwa ila Godbless Lema anashangilia na kucheza pamoja na wajumbe mbalimbali
View attachment 3209659
Mbowe alijaa na kibri lkn dalili zilionesha Toka mwanzo kwamba huu sio wakati wake, kitendo Cha kukataliwa mpaka na wachagga wenzie ilitosha kumfumbua macho. Wachaga ukiona mpaka waliamua kumuunga mkono lissu( mtu Baki) basi mbowe alichokwa kweli kweli
 
Sio mkali Bali nilitarajia atashinda hata hivyo Wana ccm kutoa maoni Yao ya nani wanapenda ashinde Wala sio kuingilia uchaguzi ni sawa tuu na mtu kusema napenda Kamala au Trump ashinde.

Kambi ya kibaraka Lisu imetumia matusi na kuchagua sana viongozi wenzake na Rais ,Samia asingekuwa muungwana huyo bwana alitakiwa awe anashinda kwenye kesi .
Sahihi kabisa maoni ni haki ya mtu yeyote, ila wanachadema wameamua kwenda na Lissu kwa ajili ya siasa za Nginja Nginja busara kwa mbali sana
 
Back
Top Bottom