4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
SubiriKwamba Lisu ameshinda so?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SubiriKwamba Lisu ameshinda so?
Mnashangilia upepo usio na faidaJamba babu jamba harakaaa, tushachomoa sekunde chache tusije rudishia mti nyama uakaendele kuugulia maumivu chawa we
KIla siku unaambiwa english medium nzuri wewe unabisga, ona sasa ujinga huu unaoandika hapaChama cha wakristu
Amekuwa Rais wa TLSSubiri
Tulia tuli kama maji ya mtungiAmekuwa Rais wa TLS
Amekuwa Makamu Mwenyekiti
Amekuwa mgombea Urais
Kuna jipya ataleta?
Naona unaandika kinyonge sana. Wanachadema wamezungumza wamesema wanataka nini.Kwamba Lisu ameshinda so?
Na alipigwa risasi nyingi na nyingine anatembea nazo.Amekuwa Rais wa TLS
Amekuwa Makamu Mwenyekiti
Amekuwa mgombea Urais
Kuna jipya ataleta?
Sio kinyonge kwani Mimi ni mwanachadema? Mimi sio mtu wa siasa ila Iko wazi watu dizaini ya kina Lisu, Magufuli Huwa siwakubaliNaona unaandika kinyonge sana. Wanachadema wamezungumza wamesema wanataka nini.
Get off my deekKIla siku unaambiwa english medium nzuri wewe unabisga, ona sasa ujinga huu unaoandika hapa
Ahahahahah...makasiriko ya waz waz.🤣🤣🤣🤣🤣Get off my deek
Najua ulivyokuwa unapambana lissu asipate. Kumbe wananchi wana mawazo yao tofauti. Wanapenda aina ya akina Lissu ambao huwa hawaumi umi maneno.Sio kinyonge kwani Mimi ni mwanachadema? Mimi sio mtu wa siasa ila Iko wazi watu dizaini ya kina Lisu, Magufuli Huwa siwakubali
Boss umejuaje na mvua hii Kali ya Darisalama.Alhamdulillah! Mungu ni mwema sana.
Hatimaye tumeshinda!
Dah nchi ngumu sana hii, wajumbe ndani michongo wajumbe nje bapa. Tutatoboa kweli?Mbowe naomba.bapa la..konyagi 😋😋
Nimekesha.kwa.ajili.yako
Kimsingi Samia ni muungwana ilitakiwa huyo mtu wenu awe anashinda kwenye kesi na Serikali Kwa sababu za mdomo mchafu.
[emoji3577][emoji3577][emoji3577]Alhamdulillah! Mungu ni mwema sana.
Hatimaye tumeshinda!
Utaratibu wa CCM hauendani na huko kwenu,kwanza mlisema hana Nguvu iweje achakachue? Wacha uzushi wa kijinga.Muungwana kachakachua Katiba ya Chama kuepuka upinzani....!!
Sikujui. Acha kujipendekezaAhahahahah...makasiriko ya waz waz.🤣🤣🤣🤣🤣