Pre GE2025 Vibe la Godbless Lema baada ya kumalizika kuhesabiwa kura Uchaguzi wa CHADEMA

Pre GE2025 Vibe la Godbless Lema baada ya kumalizika kuhesabiwa kura Uchaguzi wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Utaratibu wa CCM hauendani na huko kwenu,kwanza mlisema hana Nguvu iweje achakachue? Wacha uzushi wa kijinga.

Mbona Kuna wale waliopigisha utaratibu wa fomu Moja , wenyewe Kwa nini hukuwasema?

Kachakachua akisaidiana na Kikwete.
 
Wapuuzi na wapumbavu ni nyie na hao vibaraka wenu.

Mlifika mbali na kusema watu wamepewa hela na kwamba Serikali itaingulia uchaguzi,yaani Serikali iingilie uchaguzi wa kachama la watu wasiojielewa kisa Kibaraka Lisu?

Huyo Lisu si alikuwa Rais wa TLS,amekuwa Makamu wenu Kuna jipya alifanya kuitisha Serikali? Acheni kuwa wapumbavu nyie nyumbu .
Acha hasira...
 
Acha porojo. Hakuna atakaye mtukana mama. Sema tu hofu imewaingia kwa Lissu kuwa mwenyekiti Chadema.
Amrukane mara ngapi? Wewe hujafuatilia malalamiko ya Mbowe? Hujafuatilia Kampeni za Lisu? Au wewe ni mgeni na huyo kibaraka?

Ashukuru Samia ni muingwana vinginevyo mngemchagua akiwa Ubelgiji
 
Hiyo sio kumdhalilisha Rais? Akiwekwa kilomoloni kama Slaa ataweka ushahidi?

Mnaweza Anza kesi Hadi baada ya Uchaguzi,nayo ni mbinu usijitoe ufahamu
Hayatuhusu. Kamtishie mama yako huu upuuzi. Kwani Tanzania akina Mama Abdul wapo wangapi?

Pumbavu, acha tushangilie ushindi wa TAL. 😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom