Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Na chama kimebaki salama.. Thanks God 🙏🏿Moja uchaguzi mgumu san chama umepitia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na chama kimebaki salama.. Thanks God 🙏🏿Moja uchaguzi mgumu san chama umepitia
Wakuu
Matokeo bado hayajatangazwa ila Godbless Lema anashangilia na kucheza pamoja na wajumbe mbalimbali
View attachment 3209659
LissuUpande upi madam aliyeshinda ?
Sheikh mbona kinyonge sana?Kwa hiyo ilihitaji kumtukana Rais Samia Ili nyie mushinde pamoja na kibaraka wenu Lisu?
Kwenye huu uchaguzi wa chadema-taifa , wana ccm akina tlaatlaa, lucas mwashambwa na wale walioungamkono bango la mbowe litawale kwenye mkutano mkuu maalumu wa ccm huko Dodoma hivi karibuni ndo wameangukia pua.Wapuuzi na wapumbavu ni nyie na hao vibaraka wenu.
Mlifika mbali na kusema watu wamepewa hela na kwamba Serikali itaingulia uchaguzi,yaani Serikali iingilie uchaguzi wa kachama la watu wasiojielewa kisa Kibaraka Lisu?
Huyo Lisu si alikuwa Rais wa TLS,amekuwa Makamu wenu Kuna jipya alifanya kuitisha Serikali? Acheni kuwa wapumbavu nyie nyumbu .
Kijana taratibu,,Wapuuzi na wapumbavu ni nyie na hao vibaraka wenu.
Mlifika mbali na kusema watu wamepewa hela na kwamba Serikali itaingulia uchaguzi,yaani Serikali iingilie uchaguzi wa kachama la watu wasiojielewa kisa Kibaraka Lisu?
Huyo Lisu si alikuwa Rais wa TLS,amekuwa Makamu wenu Kuna jipya alifanya kuitisha Serikali? Acheni kuwa wapumbavu nyie nyumbu .
Hawajaangukia pua yeyote maana sio Wana Chadema ni Wana CCM,wao walitoka Mbowe ashinde Kwa sababu ana busara na Yuko approachable.Kwenye huu uchaguzi wana ccm akina tlaatlaa, lucas mwashambwa na wale walioungamkono bango la mbowe litawale kwenye mkutano mkuu maalumu wa ccm huko dodoma hivi karibuni ndo wameangukia pua.
Kwamba Lisu ameshinda so?Sheikh mbona kinyonge sana?
Kimeumana,wenda mjumbe wangu akapona,vinginevyo apitilize mpaka kenyaWakuu
Matokeo bado hayajatangazwa ila Godbless Lema anashangilia na kucheza pamoja na wajumbe mbalimbali
View attachment 3209659
Hongera sana mkuuAlhamdulillah! Mungu ni mwema sana.
Hatimaye tumeshinda!
Huyu naye, tokaaaaaaaKwa hiyo ilihitaji kumtukana Rais Samia Ili nyie mushinde pamoja na kibaraka wenu Lisu?
Mabadiliko hayahitaji watu wenye utimamu wa akiliMtamkumbuka Mbowe.huyo lisu ni mgonjwa wa akili
Ahahahah..poleeeee.Wapuuzi na wapumbavu ni nyie na hao vibaraka wenu.
Mlifika mbali na kusema watu wamepewa hela na kwamba Serikali itaingulia uchaguzi,yaani Serikali iingilie uchaguzi wa kachama la watu wasiojielewa kisa Kibaraka Lisu?
Huyo Lisu si alikuwa Rais wa TLS,amekuwa Makamu wenu Kuna jipya alifanya kuitisha Serikali? Acheni kuwa wapumbavu nyie nyumbu .
Jamba babu jamba harakaaa, tushachomoa sekunde chache tusije rudishia mti nyama uakaendele kuugulia maumivu chawa weNawashangaa sana Wafuasi wa kibaraka Lisu na Lema kwamba walihitaji kumchafua Mbowe na Rais Ili wao washinde.
Kimsingi Samia ni muungwana ilitakiwa huyo mtu wenu awe anashinda kwenye kesi na Serikali Kwa sababu za mdomo mchafu.
Mbowe ametokea familia yenye hela uchaguzi sio swala la matter of life kwake ndio maana ameweka uwazi na transparency Toka Mwanzo Hadi Sasa.
Imeonesha maneno ya kina Lisu yalikuwa ni upuuzi na nonsense
Hakuna jipyaAhahahah..poleeeee.
SUbiri kwanza,kaa vizur tuchomoe , ujambe kidogo kisha tuendelee kukuweka mambo shoga wee