Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumchafua vipi?Hasira za nini? Kama zipo basi ni kumchafua Rais Ili yeye ashinde,Kwa sababu ndio sera pekee ameiyumia.huko.kwenu.
Hiyo sio kumdhalilisha Rais? Akiwekwa kilomoloni kama Slaa ataweka ushahidi?
Mnaweza Anza kesi Hadi baada ya Uchaguzi,nayo ni mbinu usijitoe ufahamu
Kwa hiyo ana ushahidi wa nyaraka kuthibitisha Hilo? Unajua hizo ni tuhuma za kumchafua Rais na taasisi?Hapo unakuwa ni uonevu. Nadhani wewe kama binadamu uliyeumbwa na utashi wa kujua baya na zuri ndiyo unajitoa utu wako kwa kujotoa akili.
Ukweli kusemwa sio kumdhalilisha Rais. Na kama ni uongo mbona hawajamkata? Nafhani hata Wenje alikili Abduli alifanya kama Lissu alivosema.
Nadhani huyo Abduli alimchukulia poa Lissu. Na hapo ndipo alipojikanyaga.
Foolish, 🙄.ni muda wa madiliko hatuhitaji jipyaAmekuwa Rais wa TLS
Amekuwa Makamu Mwenyekiti
Amekuwa mgombea Urais
Kuna jipya ataleta?
Yapi hayo?Foolish, 🙄.ni muda wa madiliko hatuhitaji jipya
Na mbingu zimeshangilia.Alhamdulillah! Mungu ni mwema sana.
Hatimaye tumeshinda!
DSMMji gani huo Mkuu?. Miji ipo mingi ujue😄
Mvua ni baraka njema kwa mshindi. HONGERA SANA LISU.Huu ni Uchaguzi huru kweli kweli na hii ndio demokrasia ya kweli kabisa. Vyama vingine igeni mfano huu kikiwemo chama cha mboga mboga ambao wanapeana vyeo kwa utashi wa viongozi na sio wananchi.Mvua kali imeanza kunyesha mjini,, Kuna kitu
Utawajua wangapi brother, huyo Samia ambaye we ndio chawa wake hata hakujuiSikujui. Acha kujipendekeza
Kama yupo karibu mnasw na kibao mjinga sana Samia ndio naniToa upuuzi wako hapa.
Mpumbavu aliyekuzaa periodWapuuzi na wapumbavu ni nyie na hao vibaraka wenu.
Mlifika mbali na kusema watu wamepewa hela na kwamba Serikali itaingulia uchaguzi,yaani Serikali iingilie uchaguzi wa kachama la watu wasiojielewa kisa Kibaraka Lisu?
Huyo Lisu si alikuwa Rais wa TLS,amekuwa Makamu wenu Kuna jipya alifanya kuitisha Serikali? Acheni kuwa wapumbavu nyie nyumbu .
Kashinda TUNDU LISSU, aka CHUMAAmeshinda nani?
Hiyo video ilikuwa ni kabla ya matokeo kutangazwaBody language body language body language
Hta magu alikuwa chizi lkni kaacha legacy na Bado tunamkumbukaMabadiliko hayahitaji watu wenye utimamu wa akili
Haiondoi ukweli kwamba nyie nyumbu ni wapumbavuMpumbavu aliyekuzaa period
Juniour Advocates wanajua Mh. Lisu aliwafanyia nini wakati wa uongozi wake so Mkuu kwenye ubishani wenu usiiweke TLS hapo.Wapuuzi na wapumbavu ni nyie na hao vibaraka wenu.
Mlifika mbali na kusema watu wamepewa hela na kwamba Serikali itaingulia uchaguzi,yaani Serikali iingilie uchaguzi wa kachama la watu wasiojielewa kisa Kibaraka Lisu?
Huyo Lisu si alikuwa Rais wa TLS,amekuwa Makamu wenu Kuna jipya alifanya kuitisha Serikali? Acheni kuwa wapumbavu nyie nyumbu .