Pre GE2025 Vibe la Godbless Lema baada ya kumalizika kuhesabiwa kura Uchaguzi wa CHADEMA

Pre GE2025 Vibe la Godbless Lema baada ya kumalizika kuhesabiwa kura Uchaguzi wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nawashangaa sana Wafuasi wa kibaraka Lisu na Lema kwamba walihitaji kumchafua Mbowe na Rais Ili wao washinde.

Kimsingi Samia ni muungwana ilitakiwa huyo mtu wenu awe anashinda kwenye kesi na Serikali Kwa sababu za mdomo mchafu.

Mbowe ametokea familia yenye hela uchaguzi sio swala la matter of life kwake ndio maana ameweka uwazi na transparency Toka Mwanzo Hadi Sasa.

Imeonesha maneno ya kina Lisu yalikuwa ni upuuzi na nonsense
Yaonekana ndugu umeumia sn.. pole..
 
Back
Top Bottom