tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,843
- 29,350
Onyo! Kaa mbali na vitoto vya 2000; visipokutegua nyonga vitakufilisi! Sitaki kuwapotezea muda, hebu msikilize mhusika mwenyewe alichotendewa na kinda wa 2000:
MAONI YANGU
Jamani hawa watoto wa 2000 sio wa kuhongwa vitu vikubwa kama fedha (e.g. Tsh 400,000) au smartphone. Hawa saizi yao ni hongo ya chips yai/kuku na soda. Ukitoa hizi hongo umemaliza kila kitu. Ukijipendekeza kuhonga zaidi ya hapo, imekula kwako!