Vibinti vya 2000 ni tatizo; mdau kapigwa huku!

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
27,843
Reaction score
29,350
Onyo! Kaa mbali na vitoto vya 2000; visipokutegua nyonga vitakufilisi! Sitaki kuwapotezea muda, hebu msikilize mhusika mwenyewe alichotendewa na kinda wa 2000:​

Your browser is not able to display this video.


MAONI YANGU
Jamani hawa watoto wa 2000 sio wa kuhongwa vitu vikubwa kama fedha (e.g. Tsh 400,000) au smartphone. Hawa saizi yao ni hongo ya chips yai/kuku na soda. Ukitoa hizi hongo umemaliza kila kitu. Ukijipendekeza kuhonga zaidi ya hapo, imekula kwako!​
 
Kwenye Uislamu tunafundishwa kua Kuna watu aina 4 ambao Allah hatowatizama siku ya kiama na wataingia motoni bila ya hesabu mmoja wa hao watu ni Mzee Mzinifu yani mtu mpaka uzee wako wewe bado unaendekeza uzinifu tuu

Nb: Uchi haushibi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…