Vibinti vya 2000 ni tatizo; mdau kapigwa huku!

Miaka 26 wewe unamuona ni mkubwa mwenzio mkuu?
Kwani ukubwa wa mtu hua unapimwa kwa kujilinganisha na wewe muhusika?

Mtu akisha fikisha miaka 18 anakua ni mkubwa,ndio maana huruhusiwa kuoa/kuolewa na hata kupiga kura,

Kwahiyo ukiwa na miaka 60 utamsema mwenye miaka 50 ni mdogo?

Halafu mimi sijacompare umri wa huyo binti na huyo babu,bali nimesema miaka 26 hahesabiwi kua ni binti mdogo,

Elewa logic yangu kwanza,acha ubishi.
 
Sawa mkuu nimekupata. Lakini vitoto vya 2000 vitamu sana aisee!
 
Kama hii ni KWELI,sio A.I huyu Mzee ni LAANA kwa Taifa ,imagine unamuonea bab yako,mjomba yako anafanya huu UPUMBAVU
 
Kwang mwisho n ten haizid hapo,dau likipanda nazim simu

Wanawake ni maua mkuu na yanapaliliwa kwa fweza wala usiogope kuwatunuku brother! Dunia inakuwa bora sana haya maua yanapohudumiwa na kupendezeshwa

Mtazame Elon Musk anavyohudumia na kutunuku uone wajibu wa dume!
 
Kama hii ni KWELI,sio A.I huyu Mzee ni LAANA kwa Taifa ,imagine unamuonea bab yako,mjomba yako anafanya huu UPUMBAVU
Huyu ni mzee kiumri lakini ni kijana kidinyaji. Wewe imagine mzee kama huyu anamdinya binti wa f2000 hadi anadinyika unafikiri mchezo mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…