Vibweka na vimbwanga vya mtaani kwetu...

Vibweka na vimbwanga vya mtaani kwetu...

Hahaha ana afya njema kwa kuwa anatunzwa vyema na babaye...wababa tupo juu!!:becky:

Mwapenda kusifiwa eeh...ila kwa hapo mpo juu km mnazi...sasa hapo kwenye pic...mama mzazi kaenda wapi? Misele kijijini au?
 
Mwapenda kusifiwa eeh...ila kwa hapo mpo juu km mnazi...sasa hapo kwenye pic...mama mzazi kaenda wapi? Misele kijijini au?

Hapo ni fursa sawa kwa wote mama kaenda kusaka kuni porini
 
5. Hiki ndio kiota pekee cha maraha...


Hapa siongei mengi, hawa hapa chini ndio wadosi wa huku kwetu wakijiburudisha na moja moto moja baridi ndani ya viswimingi puli...


558796_378996815557192_2033976927_n.jpg
dah watu wabunifu sana......
 
Back
Top Bottom