Ufunuo wa neno la Mungu, sasa kiwanja, nyumba, pesa nk vinafunuliwa na roho yupi? Unampa nani ili Mungu akuonyeshe vibwengo?Nyie ndio watu wa dini [emoji3][emoji3]. Ukiangalia nimetoa sana msisitizo sadaka yenye nguzu ni ile yenye maongozo ya Roho na Ufunuo ( ufunuo wa neno la Mungu au maarifa ya Mungu ) . Na kama utatoa sadaka kwa mazoe ume fail..
Nyie ndio watu wa dini [emoji3][emoji3]. Ukiangalia nimetoa sana msisitizo sadaka yenye nguzu ni ile yenye maongozo ya Roho na Ufunuo ( ufunuo wa neno la Mungu au maarifa ya Mungu ) . Na kama utatoa sadaka kwa mazoe ume fail..
Kwani wewe unaona nani bingwa wa imani ?Nani bingwa wa imani kumzidi Kristo?
Yesu Kristo alikaa na makahaba ... kufungana nafsi unako kuongelea wewe au hapo kwenye bible ni soul tie. Kitu ambacho believe akitokea ameunga nafsi na asie believe inaeza mpelekea akaacha imani yake kwa kuanza kuwa under control ya nafsi ya amabe sio muumini, hili lilikumta Mfalme Suleima. Na nina weza pia kaa na wana giza mie nikawa na effect kwao kama nimebeba moto wa kutosha rohoni mwangu.. somo maandika kwa kutazama behindi ya ilo andiko ilo chimbuko la hiloSisi ni wana wa nuru, hatuchangamani na giza kamwe.
Wakolosai 2
Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―
βΈ Angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu, kwa jinsi ya mapokeo ya wanadamu, kwa jinsi ya mafundisho ya awali ya ulimwengu, wala si kwa jinsi ya Kristo.
β¦
ΒΉβΈ Mtu asiwanyang'anye thawabu yenu, kwa kunyenyekea kwa mapenzi yake mwenyewe tu, na kuabudu malaika, akijitia katika maono yake na kujivuna bure, kwa akili zake za kimwili;
β¦
Β²β° Basi ikiwa mlikufa pamoja na Kristo mkayaacha yale mafundisho ya awali ya ulimwengu, kwa nini kujitia chini ya amri, kama wenye kuishi duniani,
Β²ΒΉ Msishike, msionje, msiguse;
Β²Β² (mambo hayo yote huharibika wakati wa kutumiwa); hali mkifuata maagizo na mafundisho ya wanadamu?
Β²Β³ Mambo hayo yanaonekana kana kwamba yana hekima, katika namna ya ibada mliyojitungia wenyewe, na katika kunyenyekea, na katika kuutawala mwili kwa ukali; lakini hayafai kitu kwa kuzizuia tamaa za mwili.
Kuniblock ndio njia pekee iliyobaki, huwezi kujibu hoja kwa maandiko.Kwani wewe unaona nani bingwa wa imani ?
Waebrania 12 2
tukimtazama Yesu, mwenye kuanzisha na mwenye kutimiza imani yetu; ambaye kwa ajili ya furaha iliyowekwa mbele yake aliustahimili msalaba na kuidharau aibu, naye ameketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha Mungu.
Naelekea kuku block akili yako kiroho ipo chini kulingana na mimi . Vitu ninavyo jua lazima vikuchanganye. Ndio maana hata Yesu Kristo mafarisayo hawakuwa wakimuelewa [emoji3][emoji3][emoji3]
Hakuna unacho elewa...Ufunuo wa neno la Mungu, sasa kiwanja, nyumba, pesa nk vinafunuliwa na roho yupi? Unampa nani ili Mungu akuonyeshe vibwengo?
Na ku block kwasababu maswali yako ni ya kitoto na huna unalojua.. so unanipotezea mda kujibu maswali ya watoto wa sunday school .. nda ndio maana Paul alisema kuna maziwa na nyama.. upo level za kunywa maziwa wewe.. mie nakula nyama zenye mifupa ππππKuniblock ndio njia pekee iliyobaki, huwezi kujibu hoja kwa maandiko.
Yesu Kristo alikaa na makahaba ... kufungana nafsi unako kuongelea wewe au hapo kwenye bible ni soul tie. Kitu ambacho believe akitokea ameunga nafsi na asie believe inaeza mpelekea akaacha imani yake kwa kuanza kuwa under control ya nafsi ya amabe sio muumini, hili lilikumta Mfalme Suleima. Na nina weza pia kaa na wana giza mie nikawa na effect kwao kama nimebeba moto wa kutosha rohoni mwangu.. somo maandika kwa kutazama behindi ya ilo andiko ilo chimbuko la hilo
Na kuna good soul tie na bada soul ties. Mfano David and Natha ilikuwa good soul tie.Uko sahihi kwa kiasi. Ukifungamana nafsi na walio kwenye giza maana yake wewe ndio umenaswa. Ndio maana Biblia inasema;
2 Wakorintho 6
Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―
ΒΉβ΄ Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?
ΒΉβ΅ Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini?
ΒΉβΆ Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
ΒΉβ· Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.
ΒΉβΈ Nitakuwa Baba kwenu, Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike,
Yesu Kristo ni Mungu, alikuja kuwatoa watu utumwani ikiwemo soul tie. Hakuja kuwaambia watu wajifungue wenyewe, bali wamwamini Yeye ili awafungue. Kwetu sisi imetupasa kuwahubiria watu habari hii njema, kuwa Yesu anao uwezo kuwatoa kwenye mahusiano ya kipepo. Tunawaonyesha ni jinsi gani yalivyo hayo mahusiano na jinsi gani yanakiuka sheria ya Bwana. Kisha tunawapa tumaini kuwa yuko awezaye kuwarejesha upya kabisa. Hiyo ndio Injili.
Ahahaahahha, ndio mbaba, umejuajeMorogoro
Hakuna unacho elewa...
3 Yohana 1 2
Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya yako, kama vile roho yako ifanikiwavyo.
[emoji116][emoji116][emoji116]
Mpango wa Mungu watu wafanikiwe kiroho na kimwili pia. Kuna Roho wa hekima na na maarifa
(
Isaya 11 2
Na roho ya BWANA atakaa juu yake, roho ya hekima na ufahamu, roho ya shauri na uweza, roho ya maarifa na ya kumcha BWANA;
).
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mtu anapokuwa na Roho wa hekima na maarifa, maana yake ata mguide katika mambo ya mwilini na rohoni ili huyo mtu afanikiwe. ikiwa pamoja ja kwenye kazi au wito alio itiwa. Na ndio maana utaona katika utoaji kuna kunanongezeko .. Nenda kaangali Elija alipo enda kwa yule mama mjane.. chakula hakikuounguka.. na case nyingi na zote ni biblical ila kwakua ni mchanga kiroho nita kuvuruga kabisa akili yako
Na ku block kwasababu maswali yako ni ya kitoto na huna unalojua.. so unanipotezea mda kujibu maswali ya watoto wa sunday school .. nda ndio maana Paul alisema kuna maziwa na nyama.. upo level za kunywa maziwa wewe.. mie nakula nyama zenye mifupa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Na kuna good soul tie na bada soul ties. Mfano David and Natha ilikuwa good soul tie.
Injili inaenda zaidi ya hapo. Kama watu watakuwa wajinga wasipo elewa shetani namna ana operate bado wanaendelea pia kuwa kifungoni
[emoji116][emoji116][emoji116]
Waefeso 6 11
Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani.
Unajua vipi hila za shetani ?
[emoji116][emoji116][emoji116]
Waefeso 6 12
Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
Unaweza pigana vita na kitu usicho kijua ?
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Hosea 4 6
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Wa pendwa wengi hamna maarifa, mpo busy kuomba na kufunga .. lakini no changes kwenye maisha yenu.. mnalia njaa tu. Kwa ku ignore vitu ambayo mnadai Yesu Kristo alimaliza msalabani, kwa taarifa yako Yesu Alishinda msalabani ili wewe upokee nguvu ya ku vi drive na sio ubweke ukizani mambo ni mteremko.. haipo hivyo.. na ndio maana kwa kuangikwa kwake msalabanj alitukuomboa na laana .. but How ? Wapendwa wengi wana strugle na mi laana huku wamempokea Kristo ?
Naijua vema, kuna ndugu zangu wanasali hapoAhahaahahha, ndio mbaba, umejuaje
Ahahaah, tushinde majaribu?? Hayo majaribu yanatoka wapi??? Ina maana kuna kiumbe kingine anakiruhusu kitujaribu?? Kwa nn hasikizuie baada ya sisi kuamini???? Au huyo mjaribu ni pete na kidole pande mbili za shilingi??Hakuna jipya mkuu, ninyi prosperity preachers mmeinajisi Injili ya kweli kwa kumfananisha Kristo na vitu vinavyoharibika. Kristo alishinda ili mipokee nguvu ya kuhimili majaribu, ikiwemo tamaa za dunia. HAKUNA MAHALI YESU KASEMA AMA KUADHIRUA KUWA KIFO CHAKE MSALABANI KILIKUJA ILI TUWE MATAJIRI.
Huwezi kumpokea Kristo ukawa chini ya laana. Labda kama huelewi ni laana ipi inayoongelewa. Biblia ina majibu yote. Hatuhitaji mafunuo mapya, wala njia mpya ya kumfikia Mungu. Yote yamefunuliwa na Kristo Yesu.
Huna msingi wa imani, hivyo huwezi kuanzia juu juu. Kwani hayo anayofundishabhuyu mdau, kwa nini Mungu asizuie badala ya kuanza kutengeneza madhabahu na mambo ya namna hiyo?Ahahaah, tushinde majaribu?? Hayo majaribu yanatoka wapi??? Ina maana kuna kiumbe kingine anakiruhusu kitujaribu?? Kwa nn hasikizuie baada ya sisi kuamini???? Au huyo mjaribu ni pete na kidole pande mbili za shilingi??
Achana nao hao wabishi..twende kaziNitapoteza mda wangu, huna unacho elewa.
πππππJihadharini na prosperity gospel, wengi wameumizwa hata kufikia kumkataa aliyewafia msalabani kwa kuona ni tapeli. Angalieni wenyewe mpime mambo haya, tunaishi na ndugu wengi kati yetu wafuatao imani hizi. Je tangu kuanza kwa mafundisho haya pendwa, ni wangapi wameondokea kuwa mabilionea? Utakuta wanaohubiri haya ndio wafanikiwao huju waumini wao wakibaki kwenye lindi ka umaskini mkubwa. Viongozi wao wenye kuijua kweli wanawategemea waumini kwa kipato, huku wakiwataka waumini wamtegemee Mungu. Yaani wewe uwape wao mali zako, kisha umsubiri Mungu akupe mara mia. Usiwe mmoja wa hao, tunza sana moyo wako, usilishwe uongo, usije uamini ukaangamizwa.