Mkuu mimi naomba nikupe namba yangu unitumie audio whatsapp. Nataka niwe na connection na Sir GodHivi vitu vidogo sana, ningekuwa nauwezo wa ku type au kupenda kupost ma thread marefu, tungechambua module moja moja.. in and out na mda wa maswali na majibu .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wajumbe huruKibwengo,misukule,vinyamkera hao wote Ni wajumbe huru wa mfalme wa giza.
Vipo lkn sio vya kuviofia maana havina nguvu kuliko yeye aliye juu.
Katubu hii dhambi ya kuabudu miungu mingine mkuu.niliwahi kupiga kibwengo konzi aisee nilivimba mkono vibaya mno hadi nikaenda kwa mganga huko muheza ndio ikawa pona yangu
Huu wimbo unao mkuu?Kinyamkera genda genda kvmwenv genda.
Nalog off
Na mimi ni watatuTuko wawili mkuuu...Niko makini
NakaziaJamaa una vitu vingi unajua sema kama ilivyokawaida watu wanaojua sana uwaga sio waandishi wazuri na hawawezi kupanga mambo katika mtiririko sahihi sababu materials ni mengi san kichwani kuyaweka kwenye post si kitu rahisi
Unaweza recommend kitabu chochote kuhusu madhabahu...
Focus yetu ilikua kwenye madhabahu.....sasa umeshaeleza component za madhabahu....sasa mi nahitaji kujua ukiacha hizo major component kipi kingine cha kuwepo....mana kwnye madhabahu za Giza naonaga watu wanaweka vitu vingi mfano....mafuvu ya watu...mishumaa....mapazia ya rangi nyekundu na nyeupe.....vibuyu and etc ....vipi katika madhabahu ya Kumpendeza Mungu na kukaribisha uwepo wake........vitu gn vinavotakiwa kuwepo pale ukiacha hizo component tano ulizotajahapa tushurikiane, tujadili kwa pamoja.. tuchukue ka point kepi kakuanza nacho kwanza maana paka hapa sijui nimeanzia wapi na nimefikia wapi.. maana hapa naandika direct kutoka kichwani na ndio maana inakuwa rahisi kuchanganya mambo
Mashahidi wa madhabau ni kina nani na wanawepo baada ya madhabau kukamilika au wakati unaanza kujenga madhabau?Eeh! Naombeni mnielekeze hapa cha kuandika maana ni rahisi kutoka kwenye mada wakuu kutoka na nature ya uandishi wangu
Tuanze na Malaika wa Shekel..Shuguli zinafanyika pale ni kupata maelekezo, maarifa, kupata uwezo ( nguvu ), malaika kufanya kazi zao kutoka na hoja iliyo kuwa imewakilishwa kwa haraka sana kwasababu wanapokea order moja kwa moja kutoka kwa controler. Na kuitimiza haraka , madhabu ina tabia ya ku expand kutoka na ongezeko la wingi wa malaia wanao vutiwa na utendaji wa kuhani [emoji3][emoji3][emoji3].. kama kuhani mzushi mzushi malaika hupungua wingi wa malaika urahisi kwa kuhani.. maana kwenye madhabau kunaweza kukawa na malaika wa kila aina mfano malaika wa maji, malaika wa afya malaika wa shekeli yani huyu ukiwa nae powa unapata sana favor kwenye eneo la uchumi maana ana impart kitu cha kukufanye pesa ikutafute.. ikufate [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].. hii mada ingine kabisa
Hapana sina maelezo mengi lakini kuna kila aina ya malaika anae deal na issue za uhitaji wa mwanadau. Ila njia ya ku provoke malaika ni madhabau , maombi, na kumuelewa guardian angel wako vizuri kwasabau huyu ndio hufanya kazi ya ku invite malaika wengine katika maisha ya mtu husikaTuanze na Malaika wa Shekel..
Tupe hayo ambayo yatufaaHapana sina maelezo mengi lakini kuna kila aina ya malaika anae deal na issue za uhitaji wa mwanadau. Ila njia ya ku provoke malaika ni madhabau , maombi, na kumuelewa guardian angel wako vizuri