Shuguli zinafanyika pale ni kupata maelekezo, maarifa, kupata uwezo ( nguvu ), malaika kufanya kazi zao kutoka na hoja iliyo kuwa imewakilishwa kwa haraka sana kwasababu wanapokea order moja kwa moja kutoka kwa controler. Na kuitimiza haraka , madhabu ina tabia ya ku expand kutoka na ongezeko la wingi wa malaia wanao vutiwa na utendaji wa kuhani [emoji3][emoji3][emoji3].. kama kuhani mzushi mzushi malaika hupungua wingi wa malaika urahisi kwa kuhani.. maana kwenye madhabau kunaweza kukawa na malaika wa kila aina mfano malaika wa maji, malaika wa afya malaika wa shekeli yani huyu ukiwa nae powa unapata sana favor kwenye eneo la uchumi maana ana impart kitu cha kukufanye pesa ikutafute.. ikufate [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].. hii mada ingine kabisa