Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

Hivi vitu vidogo sana, ningekuwa nauwezo wa ku type au kupenda kupost ma thread marefu, tungechambua module moja moja.. in and out na mda wa maswali na majibu .
Mkuu mimi naomba nikupe namba yangu unitumie audio whatsapp. Nataka niwe na connection na Sir God
 
madhabau ya kwanza kujengwa ni Mungu mwenyewe ndio aliijenga. Sasa basi Majira flani Mungu alikuwa anashuka anakutana na Mr Adamu, wana zungumza, mambo mabali mabali, kumbuka adamu alipewa kutawala na kumiriki, Mungu alipokuwa akishuka adamu alikuwa akiendelea kula shule ya namna ya ku vicontorl hivyo vyote na namna ya ku expand maana bwana shetani alikuwepo.. so adamu alikuwa anakula skillz zaidi
 
Sasa unaziona wapi zile components tano zianazo unda madhabau ? Mungu ( controler ) , alafu Kuhani ni adamu, mpokeaji alikuwa mjumbe wa Mungu, na huyu ndio alikuwa anashuka kukutana na aadamu na sio Mungu mwenyeee.. maana Mungu hatoshi humu duniani.. hata ukifatilia ki maandiko 😀😀😀.. sasa Muwakilishi wa Mungu tuna term kama Mungu maana alikuwa anamukilisha direct Mungu ( hapa nisitoe maelezo mengi maana nitaanzisa mada juu ya mada kwenye ufafanuzi wa hili ). Na ndio maana utaambia adamu alipo chemka akajificha ( Akasikia sauti ya Bwana Mungu ikitembea 😁😁 hapa ndio palipo na fumbo.. alisikia sauti ya Mungu ikitembea na sio kwamba alimsikia Mungu anatembea, hiyo ni sauti gani ilikuwa inatembea 😀😀😀 huyo alikuwa mjumbe wa Mungu na sio Mungu mwenyewe )
 
tunaendelea, basi hapo sasa tunaona mty wa tatu katika kujenga madhabau, tunaenda kitu cha nne, kipawa - adamu utoaji wake ulikuwa unaendana na alichobena ndani yake, hii inafanya mtu kufanikisha haraka zaidi katika issue anayo present, tofauti ja mtu asie jua kipawa chake, unaeza ukawa una kipawa cha kumiliki pesa wewe unapeleaka case yako katika madhabau ya uponyaji 😀😀🙂.. alafu mashahi.. hawa huwa ni heavenly beings
 
tunarudi kwenye activities sasa, adamu alikuwa akizungumza na Mungu, mambo mengi yahusuyo majukumu aliyopewa na namna ya kufanya na kupewa uwezo wa kuyafanya kila alipokuwa anapewa maelekezo, na adamu kama kuhani alipewa moja ya shart la kutokula manyama manyama, kwaiyo wanyama walikuwa ni kama sadaka kwa Mungu, ndio alicholuwa anakiwakilisha adamu katika hiyo madhabau na ndio maana utaona Abeli alijifunza kwa Adamu kutoa wanyama walio kubarika na hata Nuhu baada ya gharika alifanya kutoa wanyama katika madhabau.. tuwe makini na tunavyo weka kwenye madhanau kuna vingi ni poa na vingine sio poa
 
Shuguli zinafanyika pale ni kupata maelekezo, maarifa, kupata uwezo ( nguvu ), malaika kufanya kazi zao kutoka na hoja iliyo kuwa imewakilishwa kwa haraka sana kwasababu wanapokea order moja kwa moja kutoka kwa controler. Na kuitimiza haraka , madhabu ina tabia ya ku expand kutoka na ongezeko la wingi wa malaia wanao vutiwa na utendaji wa kuhani 😀😀😀.. kama kuhani mzushi mzushi malaika hupungua wingi wa malaika urahisi kwa kuhani.. maana kwenye madhabau kunaweza kukawa na malaika wa kila aina mfano malaika wa maji, malaika wa afya malaika wa shekeli yani huyu ukiwa nae powa unapata sana favor kwenye eneo la uchumi maana ana impart kitu cha kukufanye pesa ikutafute.. ikufate 😃😃😃😃.. hii mada ingine kabisa
 
hapa tushurikiane, tujadili kwa pamoja.. tuchukue ka point kepi kakuanza nacho kwanza maana paka hapa sijui nimeanzia wapi na nimefikia wapi.. maana hapa naandika direct kutoka kichwani na ndio maana inakuwa rahisi kuchanganya mambo
Focus yetu ilikua kwenye madhabahu.....sasa umeshaeleza component za madhabahu....sasa mi nahitaji kujua ukiacha hizo major component kipi kingine cha kuwepo....mana kwnye madhabahu za Giza naonaga watu wanaweka vitu vingi mfano....mafuvu ya watu...mishumaa....mapazia ya rangi nyekundu na nyeupe.....vibuyu and etc ....vipi katika madhabahu ya Kumpendeza Mungu na kukaribisha uwepo wake........vitu gn vinavotakiwa kuwepo pale ukiacha hizo component tano ulizotaja
 
Eeh! Naombeni mnielekeze hapa cha kuandika maana ni rahisi kutoka kwenye mada wakuu kutoka na nature ya uandishi wangu
Mashahidi wa madhabau ni kina nani na wanawepo baada ya madhabau kukamilika au wakati unaanza kujenga madhabau?
Na madhabahu inajengwaje, mfano naweza amka asubuhi kesho nikajenga madhabau?
 
Shuguli zinafanyika pale ni kupata maelekezo, maarifa, kupata uwezo ( nguvu ), malaika kufanya kazi zao kutoka na hoja iliyo kuwa imewakilishwa kwa haraka sana kwasababu wanapokea order moja kwa moja kutoka kwa controler. Na kuitimiza haraka , madhabu ina tabia ya ku expand kutoka na ongezeko la wingi wa malaia wanao vutiwa na utendaji wa kuhani [emoji3][emoji3][emoji3].. kama kuhani mzushi mzushi malaika hupungua wingi wa malaika urahisi kwa kuhani.. maana kwenye madhabau kunaweza kukawa na malaika wa kila aina mfano malaika wa maji, malaika wa afya malaika wa shekeli yani huyu ukiwa nae powa unapata sana favor kwenye eneo la uchumi maana ana impart kitu cha kukufanye pesa ikutafute.. ikufate [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].. hii mada ingine kabisa
Tuanze na Malaika wa Shekel..
 
Tuanze na Malaika wa Shekel..
Hapana sina maelezo mengi lakini kuna kila aina ya malaika anae deal na issue za uhitaji wa mwanadau. Ila njia ya ku provoke malaika ni madhabau , maombi, na kumuelewa guardian angel wako vizuri kwasabau huyu ndio hufanya kazi ya ku invite malaika wengine katika maisha ya mtu husika
 
Back
Top Bottom