Na kuna spirit kama lehoboth au leviathan hizi zenye zinakuwa zipo kwenye sehemu za chini kabisa za bahari ( virindi ). Hapo utaona kunakuwa na kindoma au sehemu tatu majini, ardhini na mbinguni ( 2rd ). Hizi sehemu kila moja ina nguvu na kingdom yake. Ila katika dunia ( demons ) hizi ni roho hazina miili, zinaeza muingia mtu na akawa na behave sawa na hiyo spirit. Mfano hizi spirit ni pale mtu anapotokea kafa kabla ya wakati wake na alikuwa under control ya devil ile spirit huwa ina landa landa hutoikuta kuzimu wala wapi hadi majira yake but hii ni minor sana kwababu gurden angel mala nyingi hufanya kazi zao sawa.. unless huyo gurdian angel wa huyo mtu awe cursed. Hapa demons namaanisha zaidi ya wale walio product ya malaika na wadamu, walipotoweshwa kwenye janga, roho zao zilibaki zinaelea elea duniani, sasa kama before ya kutoweshwa kama huyo mtu mwenyr hiyo spirit alikuwa mwizi sana, maana yake hiyo spirit ikipata mwanya kumuingia mtu, mtashangaa huyo mtu atakavyo kuwa mwizi. Naelekea kwenye vibwengo sasa. Hii somo pana sana