Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

tuelekeze mkuu. na hiyo power ya kucontrol inapatikana vipi
Sawa, cha kwanza kujua ni kwamba kuna source kuu moja tu ya power. Yaani source ya Power ni Mungu. Lakini hii power Lucifar alivyo hasi alibaki nayo, ndipo tunapata Light Kingdom ( above all kingdom ) na darkness king ( lesser power ).. kuna kingdoma zaidi ya hizi, ila nitaanzia katika hizi upate mwanga nitacho kuelezea
 
mkuu nipo nimetega sikio
 
tuelekeze mkuu. na hiyo power ya kucontrol inapatikana vipi
Lucifer alivyo geuka na kufukuzwa katika sehemu yake, aliondoka na sehemu ya malaika walio chini yake ki mamlaka na nguvu. Hao malaingika wamejigawa kuna spirit ( evil angel au fallen angel hawana wana occupy 2rd heaven, then kuna demons hawa wana landa landa dunuani wakitafuta mwili ( body ili wamuingie mtu, ila fallen angel hawawezi Muingua mtu kwasababu tayari wana miili yao ). Somo lefu kidogo univumilie nisikuchoshe.. naenda hivi ili tufike kwa point mkuu
 
sawa mkuu tupo pamoja
 
mkuu nipo nimetega sikio
Na kuna spirit kama lehoboth au leviathan hizi zenye zinakuwa zipo kwenye sehemu za chini kabisa za bahari ( virindi ). Hapo utaona kunakuwa na kindoma au sehemu tatu majini, ardhini na mbinguni ( 2rd ). Hizi sehemu kila moja ina nguvu na kingdom yake. Ila katika dunia ( demons ) hizi ni roho hazina miili, zinaeza muingia mtu na akawa na behave sawa na hiyo spirit. Mfano hizi spirit ni pale mtu anapotokea kafa kabla ya wakati wake na alikuwa under control ya devil ile spirit huwa ina landa landa hutoikuta kuzimu wala wapi hadi majira yake but hii ni minor sana kwababu gurden angel mala nyingi hufanya kazi zao sawa.. unless huyo gurdian angel wa huyo mtu awe cursed. Hapa demons namaanisha zaidi ya wale walio product ya malaika na wadamu, walipotoweshwa kwenye janga, roho zao zilibaki zinaelea elea duniani, sasa kama before ya kutoweshwa kama huyo mtu mwenyr hiyo spirit alikuwa mwizi sana, maana yake hiyo spirit ikipata mwanya kumuingia mtu, mtashangaa huyo mtu atakavyo kuwa mwizi. Naelekea kwenye vibwengo sasa. Hii somo pana sana
 
bado nipo afande
 
sawa mkuu tupo pamoja
Sasa umepata kuona kuna sehemu tatu, japo zipo zingine tatu. Ngona twende sasa kwenye mada yetu, hawa fallen angel ambao ni mamlaka, nguvu zilizo katika sehemu za mbingu yaani kama jeshi la anga, hutoa order kwa demons ku execute task. Hivyo hivyo marine spirit hutoa order kwa wachawi, katika level na level maana huku napo pazito kuna madaraja kadhaa, wachawi wanapata source ya power zao katika marine kingdom ingawa inawezekana mchawi ku operate katika Triangula power.. ukikuta mchawi kafikia level.. huyo ni hatari sana maana ndio level ya juu kabisa ya power. Twende sasa kwa vubwengo tuanze ku breka down
 
bado nipo afande
Umeona wachawi wanaochukua power from marine, au wanaochukua power from forest au majabari. But how ? Mchawi anae chukua nguvu katika human kingdoma maana yake majabari, misitu are very weak. Utaona kibwengo kinapochopokea order kutoka kwa hii source ni vibwengo weak kwasababh source yao weak pia. Ogopa kibwengo anae tumika na mchawi ane chukua power direct from marine au kwa mtu aliefika level za ku operate katika triangular power.
 
bado nipo
Naanza na source ya vibwengo, na kwanini vibwengo. Katika ulimwengu kia kitu unacho kiona kina maana yake, katika ulimwengu vitu huchukua shape yoyote ili kutimiza matakwa ju ya jambo flani.

Na shape yoyote katika ulimwengu wa roho ina maana yake, ina tafsiri yake. Nagusia hapa kidogo sana sito enda mbali. Ili nitembee fasta..

Uchawi ulianza katika nyakati za kifalme, katika falme kulikuwa na jeshi ( majeshi ) katika majeshi kuna watu wenye kariba mbali mbali, kipidni makafara yanafanyika watu wafupi sana wakionekana ni viburi ( sturborn kuliko kawaida yani hapa kuna maelezo mengi ila naweka kwa ufupi tu )
 
Naanza na source ya vibwengo, na kwanini vibwengo. Katika ulimwengu kia kitu unacho kiona kina maana yake, katika ulimwengu vitu huchukua shape yoyote ili kutimiza matakwa ju ya jambo flani. Na shape yoyote katika ulimwengu wa roho ina maana yake, ina tafsiri yake. Nagusia hapa kidogo sana sito enda mbali. Ili nitembee fasta.. Uchawi ulianza katika nyakati za kifalme, katika falme kulikuwa na jeshi ( majeshi ) katika majeshi kuna watu wenye kariba mbali mbali, kipidni makafara yanafanyika watu wafupi sana wakionekana ni viburi ( sturborn kuliko kawaida yani hapa kuna maelezo mengi ila naweka kwa ufupi tu )

Tuendelee
 
Back
Top Bottom