Vichaa wanafurahia kampani yangu

Vichaa wanafurahia kampani yangu

jaribu kuwa unawapatia chakula, kama utakuwa na uwezo huo, ndugu yawezekana kuna mafanikio mbele yako hilo moja, pili kipo kitu vichaa wanakiona kwako....power
 
Daahhh...hongera sana wape msaada sana wa chakula na mavaz kama nguo ambazo hauzitumii hakika muumba atakuzidishia zaidi
 
jaribu kuwa unawapatia chakula, kama utakuwa na uwezo huo, ndugu yawezekana kuna mafanikio mbele yako hilo moja, pili kipo kitu vichaa wanakiona kwako....power
Asante kwa ushauri ndugu
 
Habari wakuu,

Poleni kwa majukumu ya hapa na pale.

Kuna jambo nilianza kuliona tangu mwaka 2010 na limekuwa likiendelea siku hadi siku, miaka hadi miaka. Nimetokea kupendwa sana na watu wenye magonjwa ya akili, kwa lugha iliyozoeleka "Vichaa"

Aisee hii hali imekuwa ikitokea mara kwa mara hata nihamapo mkoa mmoja na kwenda kuishi mkoa mwingine hii hali bado naendelea kuiona.

Mfano nikipita eneo nikakutana na kichaa ambaye watu wengine wakipita wanakula mboko, mimi napita bila wasiwasi kabisa, hanigusi wala kunisumbua kwa lolote. Vilevile kuna mmoja pia huwa anakuja eneo langu la kazi anakaa pale muda mrefu (Muda huo haongei chochote) na asiponikuta hawezi kukaa na aliowakuta. Anajiondokea zake.

Mpaka muda huu ninaoandika huu ujumbe kakaa hapa. Aisee kaniletea hadi maembe, sijui kayaokota wapi. Yaani huwa najiuliza sipati majibu, ni kwamba wanafurahia kampani yangu au nini?
SASA nimejua ni Nani anayewapa vichaa mimba
 
Wataka kusemaje ndugu
476141.jpg
 
Back
Top Bottom