Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kila kichaa kimesababishwa na hivyo ulivyovitajaVichaa wengi wamesababishiwa hali hiyo na mapepo/mashetani/majini. Nakushauri uende ktk Kanisa linaloamini ktk wokovu (Kanisa la Kipentekoste) utaombewa. Nahisi unaweza kuwa na mapepo nawe pia.
Kama usemayo ni kweli hiyo ni hali ya kawaida kabisa.. Wanasema una ngekewa na watu waliofyatuka.. Wakati wewe unapendwa wenzako wanachukiwa... Na ukipendwa na vichaa utapendwa na kila mtuHabari wakuu,
Poleni kwa majukumu ya hapa na pale.
Kuna jambo nilianza kuliona tangu mwaka 2010 na limekuwa likiendelea siku hadi siku, miaka hadi miaka. Nimetokea kupendwa sana na watu wenye magonjwa ya akili, kwa lugha iliyozoeleka "Vichaa"
Aisee hii hali imekuwa ikitokea mara kwa mara hata nihamapo mkoa mmoja na kwenda kuishi mkoa mwingine hii hali bado naendelea kuiona.
Mfano nikipita eneo nikakutana na kichaa ambaye watu wengine wakipita wanakula mboko, mimi napita bila wasiwasi kabisa, hanigusi wala kunisumbua kwa lolote. Vilevile kuna mmoja pia huwa anakuja eneo langu la kazi anakaa pale muda mrefu (Muda huo haongei chochote) na asiponikuta hawezi kukaa na aliowakuta. Anajiondokea zake.
Mpaka muda huu ninaoandika huu ujumbe kakaa hapa. Aisee kaniletea hadi maembe, sijui kayaokota wapi. Yaani huwa najiuliza sipati majibu, ni kwamba wanafurahia kampani yangu au nini?
Mshana embu msaidie huyu dada kimawazo...Kama usemayo ni kweli hiyo ni hali ya kawaida kabisa.. Wanasema una ngekewa na watu waliofyatuka.. Wakati wewe unapendwa wenzako wanachukiwa... Na ukipendwa na vichaa utapendwa na kila mtu
Mmh nahitaji kujua mengi kabla sijasema kituMshana embu msaidie huyu dada kimawazo...
Akiwa kwake Alivyotoka kuoga alivyofungua mlango akakutana na umbo kama la mtu ila umbo lake limeishia kiunoni tu sura haieleweki akawa amezimia...
Siku nyingine alikua amelala akaota mfano w sura ya mtu anaongea haraka huku anamnong'oneza sikioni aliposhtuka sikio kama likawa halisikii vizur ila baada ya muda akawa anasikia fresh
Itakua ni nini
PMMmh nahitaji kujua mengi kabla sijasema kitu
Dah! Shkamoo buji buji ...SASA nimejua ni Nani anayewapa vichaa mimba
Kuna sehem nakula misonyooo njoo uchungulieHahahaa, karibu[emoji6]
Stak kunyanyasika!Hahahaa, karibu[emoji6]
hhhhhhh nacheka kwa dharauNdege wafananao uruka pamoja ha ha...
Vichaa wa kike au wakiume?
Kisa?hhhhhhh nacheka kwa dharau
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hongeraaaNilipotea dear, si wajua tena weekend hii nilikuwa napozwa pozwa kutokana na uchovu wa kazi.
Ndo nimeachiwa muda huu.