Vichaa wanafurahia kampani yangu

Vichaa wengi wamesababishiwa hali hiyo na mapepo/mashetani/majini. Nakushauri uende ktk Kanisa linaloamini ktk wokovu (Kanisa la Kipentekoste) utaombewa. Nahisi unaweza kuwa na mapepo nawe pia.
 
Sio kila kichaa kimesababishwa na hivyo ulivyovitaja
 
Kama usemayo ni kweli hiyo ni hali ya kawaida kabisa.. Wanasema una ngekewa na watu waliofyatuka.. Wakati wewe unapendwa wenzako wanachukiwa... Na ukipendwa na vichaa utapendwa na kila mtu
 
Kweli mkuu, inanitokea sana.
 
Kama usemayo ni kweli hiyo ni hali ya kawaida kabisa.. Wanasema una ngekewa na watu waliofyatuka.. Wakati wewe unapendwa wenzako wanachukiwa... Na ukipendwa na vichaa utapendwa na kila mtu
Mshana embu msaidie huyu dada kimawazo...
Akiwa kwake Alivyotoka kuoga alivyofungua mlango akakutana na umbo kama la mtu ila umbo lake limeishia kiunoni tu sura haieleweki akawa amezimia...

Siku nyingine alikua amelala akaota mfano w sura ya mtu anaongea haraka huku anamnong'oneza sikioni aliposhtuka sikio kama likawa halisikii vizur ila baada ya muda akawa anasikia fresh

Itakua ni nini
 
Mmh nahitaji kujua mengi kabla sijasema kitu
 
Hii Mara nyingi hutokea kwa watu wenye huruma...na kuonyesha kujali...
Vichaa nao wana hisia...na some time wanajua kusoma mtu.....waoneshe furaha mda wote wanakosa sana faraja kwenye hizi jamii zetu!
 
[emoji817] [emoji817]
 
Kuna sehem nakula misonyooo njoo uchungulie
Nilipotea dear, si wajua tena weekend hii nilikuwa napozwa pozwa kutokana na uchovu wa kazi.
Ndo nimeachiwa muda huu.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hongeraaa
 
Na ww jiandae kuwa hivyo.dalili ya mvua ni manyunyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…