Vichekesho Afrika haviishi, Kanisa lina maana kubwa kuliko kiwanda

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,406
Reaction score
12,736
Vichekesho vya kisiasa/kiutawala toka Afrika bara la watu weusi.

1. Kiwanda kinauliwa ili lijengwe kanisa watu wakaombe uchumi wa nchi ukue.

2. Rais wa nchi fulani mashariki mwa Afrika anajisifia kujenga kanisa ikulu maana yake lengo hasa la yeye kuwa ikulu ni muda mwingi kuutumia kukesha kanisani kumuomba Mungu atatue matatizo ya nchi yake ambayo vijana wa nchi yake kila siku wana andamana.

Afrika ndio bara pekee lenye watu weusi wengi,wajinga wengi, na wenye low IQ wengi kwa ufupi Afrika ni bara la watu walio bado wako kwenye low stages of human evolution.
 
Screenshot_20240717-193448~2.jpg
 
Vichekesho vya kisiasa/kiutawala toka Afrika bara la watu weusi.

1.Kiwanda kinauliwa ili lijengwe kanisa watu wakaombe uchumi wa nchi ukue.

Ndio vituko vya Afrika hivyo yale mahema yangeweza kujengwa kiwanda kikubwa mno nchini.
 
N huzunii kiufupii na mkombozii n mwananchi wa mambo yt haya, lkn mwananchi mwenyeweee ndio ajitambui kbs yupo hoi bin taa baniii🤔🤔🤔
 
Vichekesho vya kisiasa/kiutawala toka Afrika bara la watu weusi.

1.Kiwanda kinauliwa ili lijengwe kanisa watu wakaombe uchumi wa nchi ukue.

2. Rais wa nchi fulani mashariki mwa Afrika anajisifia kujenga kanisa ikulu maana yake lengo hasa la yeye kuwa ikulu ni muda mwingi kuutumia kukesha kanisani kumuomba Mungu atatue matatizo ya nchi yake ambayo vijana wa nchi yake kila siku wana andamana.

Afrika ndio bara pekee lenye watu weusi wengi,wajinga wengi, na wenye low IQ wengi kwa ufupi Afrika ni bara la watu walio bado wako kwenye low stages of human evolution.
Ruto kachanganyokiwa. 😂😂😂
 
Rais wa nchi anafungua kanisa mahali polipo kuwa kiwanda jambo la kuhuzunisha sana.

Afrika nani kakuroga ?
Mzanzibari mwanamke ni zaidi ya huyo Ruto anayejenga Kanisa ikulu.

Mzanzibari mwanamke ameenda kuzindua hema la Kanisa mahala amapo palikuwa na kiwanda lkn yeye kaona poa tu.

Nilitegemea kwenye hotuba yake amwambie Mwamposa kuwa awe ameliondoa ndani ya siku 60 ili pafufuliwe kiwanda
 
😀😀hii nchi ukiweza kuzichanga Karata zako vema za kuhadaa watu unafaulu kwa kiwango kikubwa maana tuko kama Kobe ni mwendo wa kuficha vichwa ndani wahuni wanapita wanafanya wanavyotaka wanasonga mbele
NI mwendo Hoyeeeeee
 
Vichekesho vya kisiasa/kiutawala toka Afrika bara la watu weusi.

1.Kiwanda kinauliwa ili lijengwe kanisa watu wakaombe uchumi wa nchi ukue.

2. Rais wa nchi fulani mashariki mwa Afrika anajisifia kujenga kanisa ikulu maana yake lengo hasa la yeye kuwa ikulu ni muda mwingi kuutumia kukesha kanisani kumuomba Mungu atatue matatizo ya nchi yake ambayo vijana wa nchi yake kila siku wana andamana.

Afrika ndio bara pekee lenye watu weusi wengi,wajinga wengi, na wenye low IQ wengi kwa ufupi Afrika ni bara la watu walio bado wako kwenye low stages of human evolution.
Tutaendelea kuombea mlimani na huyu! Samia hakatizi october 2025
 
Attachments

  • 1751823383018.png
    1751823383018.png
    1.9 MB · Views: 33
  • 1751823382562.png
    1751823382562.png
    1.9 MB · Views: 28
Rais wa nchi anafungua kanisa mahali polipo kuwa kiwanda jambo la kuhuzunisha sana.

Afrika nani kakuroga ?
Eneo la Tanganyika Packers ukiliangalia kwa ujumla ni kawe nzima mpaka beach baharini. Kuna makazi yaliuzwa, kuna maghorofa yanajengwa na bado kuna nafasi ya wazi yanatumika kama viwanja vya mpira. Kilipo kiwanja chenyewe ndio walipohama. Ukienda pale Utakuta magofu ya kiwanda yapo, pale hapajagawiwa. Wanapotumia bado hapajaathiri plan ya maendeleo.
 
Washauri wa siasa
Vichekesho vya kisiasa/kiutawala toka Afrika bara la watu weusi.

1.Kiwanda kinauliwa ili lijengwe kanisa watu wakaombe uchumi wa nchi ukue.

2. Rais wa nchi fulani mashariki mwa Afrika anajisifia kujenga kanisa ikulu maana yake lengo hasa la yeye kuwa ikulu ni muda mwingi kuutumia kukesha kanisani kumuomba Mungu atatue matatizo ya nchi yake ambayo vijana wa nchi yake kila siku wana andamana.

Afrika ndio bara pekee lenye watu weusi wengi,wajinga wengi, na wenye low IQ wengi kwa ufupi Afrika ni bara la watu walio bado wako kwenye low stages of human evolution.
Washauri wa siasa wa mama samia kweli mchele wa mgonjwa. Wanapambana na wakosoaji wa mama ambao ni dhaifu kwa nguvu kubwa halafu wanataka kusawazisha mambo kwa vichekesho. Sasa unamshauri Rais wa nchi akazindue kanisa lililojengwa sehemu kilipokuwa kiwanda badala ya kwenda kuzindua mikakati ya kukifufua hicho kiwanda! Na hii inatokea kwa sababu ya kutaka kuonyesha mama anapendwa. Haya maombi lazima yamchanganye mtu, mama mara aombewe kwa mizimu na waganga wa kienyeji wa kisukuma, mara akina Mwamposa wamwombee kwa yesu mara mashahe wampigie dua kupitia kwa Mtume Muhammad. Kiuhalisia haiwezekani ukamwamini Muhammad, Yesu na mizimu kwa wakati mmoja kichwa kikabaki salama.
 
Anga la Israeli linalindwa na ADS za kisasa kabisa na jeshi Lao linamiliki technolojia ya kisasa kabisa kujilinda na kupigana.

Tujitahidi sana kufanya maombi na kuliombea Taifa la Israeli ili nasi tubalikiwe.

ndani ya viunga vya Tehrani.
 
Kichwa cha habari kimejaa ambiguity kwa upande fulani.
Kwani Mungu na kiwanda nani mkubwa hapo kiimani lkn
 
Vichekesho vya kisiasa/kiutawala toka Afrika bara la watu weusi.

1.Kiwanda kinauliwa ili lijengwe kanisa watu wakaombe uchumi wa nchi ukue.

2. Rais wa nchi fulani mashariki mwa Afrika anajisifia kujenga kanisa ikulu maana yake lengo hasa la yeye kuwa ikulu ni muda mwingi kuutumia kukesha kanisani kumuomba Mungu atatue matatizo ya nchi yake ambayo vijana wa nchi yake kila siku wana andamana.

Afrika ndio bara pekee lenye watu weusi wengi,wajinga wengi, na wenye low IQ wengi kwa ufupi Afrika ni bara la watu walio bado wako kwenye low stages of human evolution.
Hao ni wale haters wa SSH.

Technically masuala ya kijamii Yana uzito mkubwa
 
Back
Top Bottom