Ndio vituko vya Afrika hivyo yale mahema yangeweza kujengwa kiwanda kikubwa mno nchini.Vichekesho vya kisiasa/kiutawala toka Afrika bara la watu weusi.
1.Kiwanda kinauliwa ili lijengwe kanisa watu wakaombe uchumi wa nchi ukue.
2. Rais wa nchi fulani mashariki mwa Afrika anajisifia kujenga kanisa ikulu maana yake lengo hasa la yeye kuwa ikulu ni muda mwingi kuutumia kukesha kanisani kumuomba Mungu atatue matatizo ya nchi yake ambayo vijana wa nchi yake kila siku wana andamana.
Afrika ndio bara pekee lenye watu weusi wengi,wajinga wengi, na wenye low IQ wengi kwa ufupi Afrika ni bara la watu walio bado wako kwenye low stages of human evolution.
Ruto kachanganyokiwa. 😂😂😂Vichekesho vya kisiasa/kiutawala toka Afrika bara la watu weusi.
1.Kiwanda kinauliwa ili lijengwe kanisa watu wakaombe uchumi wa nchi ukue.
2. Rais wa nchi fulani mashariki mwa Afrika anajisifia kujenga kanisa ikulu maana yake lengo hasa la yeye kuwa ikulu ni muda mwingi kuutumia kukesha kanisani kumuomba Mungu atatue matatizo ya nchi yake ambayo vijana wa nchi yake kila siku wana andamana.
Afrika ndio bara pekee lenye watu weusi wengi,wajinga wengi, na wenye low IQ wengi kwa ufupi Afrika ni bara la watu walio bado wako kwenye low stages of human evolution.
Mzanzibari mwanamke ni zaidi ya huyo Ruto anayejenga Kanisa ikulu.Rais wa nchi anafungua kanisa mahali polipo kuwa kiwanda jambo la kuhuzunisha sana.
Afrika nani kakuroga ?
Tutaendelea kuombea mlimani na huyu! Samia hakatizi october 2025Vichekesho vya kisiasa/kiutawala toka Afrika bara la watu weusi.
1.Kiwanda kinauliwa ili lijengwe kanisa watu wakaombe uchumi wa nchi ukue.
2. Rais wa nchi fulani mashariki mwa Afrika anajisifia kujenga kanisa ikulu maana yake lengo hasa la yeye kuwa ikulu ni muda mwingi kuutumia kukesha kanisani kumuomba Mungu atatue matatizo ya nchi yake ambayo vijana wa nchi yake kila siku wana andamana.
Afrika ndio bara pekee lenye watu weusi wengi,wajinga wengi, na wenye low IQ wengi kwa ufupi Afrika ni bara la watu walio bado wako kwenye low stages of human evolution.
Eneo la Tanganyika Packers ukiliangalia kwa ujumla ni kawe nzima mpaka beach baharini. Kuna makazi yaliuzwa, kuna maghorofa yanajengwa na bado kuna nafasi ya wazi yanatumika kama viwanja vya mpira. Kilipo kiwanja chenyewe ndio walipohama. Ukienda pale Utakuta magofu ya kiwanda yapo, pale hapajagawiwa. Wanapotumia bado hapajaathiri plan ya maendeleo.Rais wa nchi anafungua kanisa mahali polipo kuwa kiwanda jambo la kuhuzunisha sana.
Afrika nani kakuroga ?
Washauri wa siasa wa mama samia kweli mchele wa mgonjwa. Wanapambana na wakosoaji wa mama ambao ni dhaifu kwa nguvu kubwa halafu wanataka kusawazisha mambo kwa vichekesho. Sasa unamshauri Rais wa nchi akazindue kanisa lililojengwa sehemu kilipokuwa kiwanda badala ya kwenda kuzindua mikakati ya kukifufua hicho kiwanda! Na hii inatokea kwa sababu ya kutaka kuonyesha mama anapendwa. Haya maombi lazima yamchanganye mtu, mama mara aombewe kwa mizimu na waganga wa kienyeji wa kisukuma, mara akina Mwamposa wamwombee kwa yesu mara mashahe wampigie dua kupitia kwa Mtume Muhammad. Kiuhalisia haiwezekani ukamwamini Muhammad, Yesu na mizimu kwa wakati mmoja kichwa kikabaki salama.Vichekesho vya kisiasa/kiutawala toka Afrika bara la watu weusi.
1.Kiwanda kinauliwa ili lijengwe kanisa watu wakaombe uchumi wa nchi ukue.
2. Rais wa nchi fulani mashariki mwa Afrika anajisifia kujenga kanisa ikulu maana yake lengo hasa la yeye kuwa ikulu ni muda mwingi kuutumia kukesha kanisani kumuomba Mungu atatue matatizo ya nchi yake ambayo vijana wa nchi yake kila siku wana andamana.
Afrika ndio bara pekee lenye watu weusi wengi,wajinga wengi, na wenye low IQ wengi kwa ufupi Afrika ni bara la watu walio bado wako kwenye low stages of human evolution.
Hivi Tanganyika packers ilikufa lini kama kiwanda, ilikufaje kufaje kwa wanaojua tunaomba watujuze hapa
Hao ni wale haters wa SSH.Vichekesho vya kisiasa/kiutawala toka Afrika bara la watu weusi.