Wolverine2
JF-Expert Member
- Sep 12, 2025
- 1,169
- 1,571
- Thread starter
- #21
Jamaa yuko na mwanamke wake ndani ya range rover yake mpya. Akamwambia;
Jamaa:babe kuna kitu nilitaka kukuambia ila nikaogopa utaniacha!
Mwanamke: nini hicho?
Jamaa: nimeoa!
Mwanamke: mxuuuu! Umenistua! Mi nikadhani hii gari sio yako!
Jamaa:babe kuna kitu nilitaka kukuambia ila nikaogopa utaniacha!
Mwanamke: nini hicho?
Jamaa: nimeoa!
Mwanamke: mxuuuu! Umenistua! Mi nikadhani hii gari sio yako!