Vichekesho mbalimbali kutoka mtandaoni. Tucheke kabla ya kulia october 29

Vichekesho mbalimbali kutoka mtandaoni. Tucheke kabla ya kulia october 29

Salaam wanamageuzi, ndio ninyi ni wanamageuzi!! Kama nilivyoahidi kwenye thread ya jamaa mmoja hivi, kwamba nitaleta vichekesho vya maandishi ili tusogeze muda kuelekea october 29, tutakapokiwasha na hata kulia kwa maumivu tutayopata maybe kwa kuwapoteza jamaa zetu(hakuna maandamano ya kweli yasiyokuwa na damu/bloodshed)

Hivyo basi kwenye thread hii nitakuwa naweka vichekesho mbalimbali ili tucheke kabla hatujalia. #october tunakiwasha. Better tanzania is now or never!

NB: nitaweka source ya kichekesho endapo kuna ulazima. Sijatunga mimi, ninatoa tu kwenye internet. Endapo utapita na kugonga like au ukasubscribe itakuwa poa sana!
IMG-20251022-WA0063.jpg
 
Akili za wauza nyama buchani wanazijua wenyewe! Yaani mfupa ulokata na shoka unataka mimi nikaun'gate na meno? Si uuaji huu?
 
HII NDO DAWA YAO!

MKE: mume wangu nimeota umeninulia cheni ya dhahabu!

MUME: rudi ndotoni ukaivae!
 
Hope you guys hamkujutia kuusoma huu uzi mlipokuwa mnajiandaa kukiwasha october 29! Uzi umefungwa rasmi.
 
Back
Top Bottom