Vichwa vya treni kwa ajili ya SGR vyaanza kushushwa Mombasa

😀😀😀😀😀😀
 
SGR hivi Tanzania haipo? Hivi ile ya Dar - Mbeya to Kapiri Mposhi ni ya kiwango gani? Naona watu wanaongea utafikiri Tanzania hatuna hiyo SGR
 

HIZI NDIZO LUGHA ZENU ZINAZO WAFANYA WATANZANIA KUWAJIA JUU - WAKATI MWINGINE BAADHI YENU MNAJIZUNGUMZIA KINACHO WAJIA KICHWANI, KWA NINI WATANZANIA NA WAKENYA MASAA YOTE NI KULUMBANA TUU NA KEJELI ZA KIJINGA BADALA YA KUBARISHANA VITU +VE VYA KUENDELEZA MATAIFA YETU.

JUZI HAPA NILITOA USHAURI KUHUSU TRACTION MOTORS NA CONTROL SYSTEMS ZA D.E LOCOMOTIVE ZA KICHINA, WAKENYA WELEDI SPECIFICALLY MAINJINIA NA MAFUNDI WALINIELEWA, LAKINI KUNA BAADHI YENU WALILETA MAMBO YA SIASA NA DHARAU!

BAROZI WA CHINA NCHINI MWENU ALIWAZUGA ETI LOCOMOTIVE HIZO ZINATUMIKA NCHINI MWAO, HIYO SI KWELI HATA KIDOGO LOCOMOTIVE ZINAZOLETWA NCHINI MWENU NA KWENGINE BARANI AFRIKA ZIMEHUNDWA KWA SOKO LA AFRIKA NA WALA HAWAZIFANYII MAJARIBIO YA KUTOSHA ZIKIWA FULL LOADED NA MIZIGO KWENYE RELI ZA WATEJA.

WACHINA WALETE LOCO CHACHE WAFUNGE MABEHEWA YA MIZIGO YAKIWA FULLY LOADED ZIVUTE MIZIGO TOKA MOMBASA MPAKA NAIROBI KWA MWEZI MMOJA HALAFU MUONE KITAKACHO TOKEA, INJINI NA GENERATORS ZA LOCO HAZINA MATATIZO TATIZO LIPO KWENYE TRACTION MOTORS NA SYSTEM CONTROL ZAKE, NDIYO MAANA NIKASEMA AGIZENI WALAO LOCO NNE/TANO AINA YA GENERAL ELECTRIC KUTOKA MERIKANI, UJERUMANI AU CANADA ZIWASAIDIE KUVUTA MIZIGO KWA UHAKIKA I.E BILA MIZENGWE WAKATI MNAZIFANYIA MAJARIBIO LOCO ZA KICHINA, AU MKIONA VIPI BASI LOCO ZA KICHINA ZITUMIENI KUVUTA MABEHEWA YA ABIRIA NA MASUALA YA SHUNTING SIYO FREIGHT SERVICES, KUMBUKENI FAIDA YA RELI INATOKANA NA UBEBAJI WA MIZIGO NA SIYO ABIRIA, USAFIRISHAJI WA ABIRIA NI SERVICE TU HAUNA FAIDA YOYOTE KWA BIASHARA YA RELI.

NAONA HAPA MWENZETU AMETUMBUKIZA MAMBO YA SIASA ZA UJAMAA, HAYO YANAKUJA KUJAJE HAPA? KAMA UNAFIKIRI UJAMAA NI DHAMBI NA HAUFAI KWA NINI MLIKWENDA KUOMBA MSAADA KUTOKA NCHI AMBAYO SIASA ZAKE NIZA KIJAMAA AU WEWE UNAFIKIRI UCHINA NI TAIFA LA KIBEPARI??? UNAPO ZUNGUMZA KITU BAKIZA MANENO SIYO UNAZUNGUMZA TUU KAMA UMEWEKEWA CD AU DVD KWENYE KINYWA CHAKO.
 
Don't forget hata hiyo reli mmepewa pesa na nchi ya Ujamaa. Don't be fool.
 
This is a big joke.
 

They are very dark in their hearts... Wakiongea utadhani ni Bonge la nchi kumbe ni ujinga tu.... Diwn terrible third world country
 
SGR hivi Tanzania haipo? Hivi ile ya Dar - Mbeya to Kapiri Mposhi ni ya kiwango gani? Naona watu wanaongea utafikiri Tanzania hatuna hiyo SGR
Tanzania tunayo sawa halafu tunafanyia nini? Kila kitu tunacho tunafanyia nini ni aibu
 
Itakuwa na speed kiasi gani ya umbali wa km kwa saa
 
Itakuwa na speed kiasi gani ya umbali wa km kwa saa
100km/hr maximum

Inamaanisha most of the time zitatembea kati ya 70-90 km/hr.

Kwa dunia ya leo ya high speed railways hicho ni kituko.

Honestly huu mradi media props nyingi ila ni bonge la utapeli ndugu zetu waKenya wamefanyiwa..

I am glad wameanza wao ili na sisi tujifunze makosa yao..
 
Kama ndio hivyo itakuwa kituko maana hii yakweru ya mkoloni jama sikosei ni 120km/hr na hii mpya nadhani itakuwa na 180k/hr nakumbuka JK aliwahi kunena katika moja ya hotuba zake
 
Itakuwa na speed kiasi gani ya umbali wa km kwa saa








. .

Type DF11 Diesel-electric Locomotive - passenger
Transmission -AC/DC

Wheel arrangement -2 x (Co-Co)
Axle load -23 t
Service power -3,040 kW
Max. running speed -158 km/h
Min. curve negotiation radius -145 m
Length over coupler centers -21,250 mm

Application -Passenger on main line





..
..
..

Type DF8B High-Power Diesel-electric Locomotive -Freight

Transmission -AC-DC
Wheel arrangement -Co-Co
Axle load -25 t
Service power -3,100 kW

Max. running speed -100 km/h
Min. curve negotiation radius -145 m
Length over coupler centers -22,200 mm

Application -double stacked Freight on main line


this is what double stacking of freight looks like, this is how the df8b will carry its cargo:





Type DF7G Diesel-electric Locomotive -for shunting within railway depot
Transmission -AC/DC
Wheel arrangement -Co-Co
Axle load -23±31% t
Service power -1,840 kW
Design speed -100 km/h
Min. curve negotiation radius -100 m
Length over coupler centers -19,980 mm
Application -Shunting on marshalling and industrial
 
Guys are undestimating the impact of sgr. Currently its takes a whole 24 hrs to get goods moving from Mombasa to Nrb. Sgr cuts this to like 6-8 hrs. Whats more, the safety records are markedly improved and saves our road network as well. I repeat, this is a game changer. Passenger trains will do about 4-5 hrs to Mombasa. Meaning you have breakfast in Nrb. Lunch in Mba.
I expect, reduced traffic accidents along the mbsa highway, reduced freight transport. From 80k per 40ft to around 50-60k.
That extra savings my friends can go to product improvement, additional jobs or even expansion of market reach.
Sgr is a game changer, particularly with cargo evacuation from the port. I honestly fear for the Dar port. It may suffer in the short run before they get their 400km/hr sgr on a $7b plus debt.
 
Ule mradi wa ethiopia ni electric na perenger train inasonga at 160km/hr sisi wetu uko 120km/hr na ni diesel..

ushawai skia ule msemo, usishindane na ndovu kunya? pale mwanzoni mipango ya SGR ikianzishwa, Kenya ilikua haina umeme wa kujitosheleza hata kwa mahitaji ya kawaida, ndio maana tulichagua diesel(lakini tukaweka initial infrastructure ya future upgrade to electric),

kadri tunavyoenda tumeongeza umeme mwingi na kuna project nyingi zaidi zinaendelezwa ambazo zikikamilika tutakua na umeme wakutosha, sasa inawezekana kuanza hio upgrade, na mwishowe in future itakua tunasonga at 240km/hr

SGR electric upgrade to cost taxpayers Sh49bn more
Chinese ambassador to Kenya Liu Xianfa told the Business Daily that President Uhuru Kenyatta supports the upgrade plans.

“We told the President this was possible, but we needed access to reliable power,” said Dr Xianfa. “If effected, it means we can have lunch in Nairobi and later be in Mombasa for dinner in the evening.”

Dr Xianfa reckons that the electric train will move at a speed of 240 kilometres per hour, up from the planned diesel engine speed of 120 kilometre per hour.
---


Reli ya kenya si double tracked lakini ni double decker - kumaanisha inabeba mizigo mara dufu, alafu kila baada ya kilometer kadhaa reli zinagawanyika na kuwa nyingi ili ziweze kupishana, alafu isitoshe zetu zitakua na electronic/ switching..... pale Nairobi wanajenga controlling station... Hii inamaanisha itakua na uwezo wa ku time train zote.. Hata kama ni single tracked, hakuna reli itakutana na mwenzake njiani, mara zote zitakua zinakutana zikiwa zile section ambazo zina reli nyingi..




Alafu achana na hizo kele nyingi unasikia wakicompare reli ya Ethiopia na ya Kenya... Ukiangalia jujuu inakaa Kenya imeibiwa, lakini ukija kwa details reli ya Ethiopia inaachwa hata kama ni electric.


 

Attachments

  • 1476723335270.jpg
    102.3 KB · Views: 86
And when are they commencing the construction of their sgr. They have been singing this for some time. The central line. Longer and cheaper than that for Kenya. No specs are out. No financier ama pia ni exim bank ya uchina. Ohh Kenya built there's on debt, Mara debt is increasing. Yet they are also still looking for the elusive debt. You would think there's will be fully paid by tz taxpayers.
 
CC: MAKANJAMNA
(Continued from the reply above)

A few Pointers extracted from that point to point comparison

The cost in Kenya includes cost for all the facilities along the way, the rolling stoke and locomotives, Kenya will bought 54 locomotives, Ethiopia 35...

Kenya will have 33 stations, Ethiopia will have only 16 stations

this is the largest station in Ethiopia





On the other hand, the ones in Kenya are like...

mti-andei station



Embakasi station -Nairobi




Mombasa station



Nairobi west station


there are other things which havent been talked about in details like the axle load -how the Kenyan rail can carry heavier loads. Or how the ethiopian rail was built on chinies class-2 standard technology, whike Kenyas rail was built on superior class one standars technology...


all these these and many more are details that are bieng ignored by those who are trying to compare the two rails... any sane person can see the logic of why the kenyan one was more expensive once you look at the devil in the details..
 
Mara wako na Tazara,mara blah blah blah....
 
[emoji75] [emoji75] [emoji75] mikebe hiyo
Hayo mapipa yenu yakowapi?


Anyway, hizo Ni za kubebesha mizigo(cargo engine)..... Tafuta train za nchi zote duniani unionyeshe hata moja ya mizigo ambayo Ni nzuri



Qoute on the trains that arrived.
At exactly five minutes to noon in Port Reitz, Mombasa, yesterday, six of the 56 locomotives that will bestride the Standard Gauge Railway roared to life.

The co-joined six-two shunting diesel electric locomotives - four of them freight cars - were pulled off the new SGR marshalling yard in Port Reitz by Transport and Infrastructure Cabinet Secretary James Macharia and other top State officials.

History made as train engines roar to life in Mombasa



Zile za abiria bado hazijaingia, hizo zinakaa hivi

 
Cc huku ni kujitambiaga tu siasaa kibaoo. Na kwa mwendo huu miaka 20 ijayo mtanzania akifika kenya akirudi atakuwa anajisifu kma kafika ulaya. Ngoja tuendelee panga pangua
Unajifurahisha wewe ,,,Kwa SerikaLi gani Mlokuwa nayo ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…