Vichwa vya treni kwa ajili ya SGR vyaanza kushushwa Mombasa

Vichwa vya treni kwa ajili ya SGR vyaanza kushushwa Mombasa

Jamani Mnamtia Hasira Tu Mkulu... Mwishowe Ahairishe Kuleta Ndege Mbili zile... Aamie Kwenye Reli tena Alete za Umeme Kabisa.. Na Sisi tule Nyasi
Hahahahha wanajifurahisha hao ,,Hawawez kushindana na Mzee ,,,kitu kikubwa alichonacho Raisi wetu ni kuwa Hayumbishi katika mamb yake ,,,anaLolitaka ndiLo analolifanyia Jitihada ,,na ndani ya miaka 5 ikiisha kuna makubwa tutakuwa nayo
 
Cc huku ni kujitambiaga tu siasaa kibaoo. Na kwa mwendo huu miaka 20 ijayo mtanzania akifika kenya akirudi atakuwa anajisifu kma kafika ulaya. Ngoja tuendelee panga pangua
Mwalimu mwenyewe alituasa kabla ya kwenda Ulaya tube Nairobi kwanza kujifunza
 
Back
Top Bottom