Vicky Kamata ajisalimisha kanisani Kusafisha Nyota ya Mapenzi na Ndoa iliyochafuka

Huyo hakukimbiwa wala kutapeliwa
bwana harusi alipewa meseji za mwanamke muda mchache kabla ya ndoa
msg zenyewe alikuwa anachat na mheshmiwa fulani jina kapuni
akimuahidi hata kama anaolewa uchi atampa tu
hata ningekuwa ndo mie bwana harusi ningechapa lapa tu
Duh! Sasa hizo sms kwenda kwa mwanaume mwingine bwana arusi alizipataje au alipewa na nani?
 
Alipewa na wazee wa fitna he he he

Kumbe ndo maana huwa analalamika kuwa kuna watu waliharibu dili lake! Duh! Angemfanya jamaa bushoke. Akadanganya mara doctor amemwambia apumzike asiende arusini mara jamaa tapeli mwisho akadai kuna watu wameingilia ndoa yake!
 
Huyo hakukimbiwa wala kutapeliwa
bwana harusi alipewa meseji za mwanamke muda mchache kabla ya ndoa
msg zenyewe alikuwa anachat na mheshmiwa fulani jina kapuni
akimuahidi hata kama anaolewa uchi atampa tu
hata ningekuwa ndo mie bwana harusi ningechapa lapa tu

kuumbeee......?!!!!
 
Ndo hivo hakuna cha utapeli, kajipeperushia mwenyewe
hakuna mwanaume anaeweza kuvumilia huo ujinga
 
Hapo anatafuta gia ya kufunga ndoa kiholela huko hayo makanisa ya uchochoroni hayana hata masharti ndio maana utakuta hata mke/mume wa mtu anaweza oa mara ya pili bila kuchunguzwa.

Btw hakuna mchawi yeyote bali tabia na mienendo yako kama tabiazako ukijiheshimu utaheshimiwa mbona.

ila hayo makanisa hatuwezi yaita makanisa pendwa
 
haujui hayo makanisa ya vichochoroni yako strict kuliko hayo ya main road ambayo hata ukienda na mwanamume mwenzako wanakufungisha ndoa tu, ukimpeleka mwanao kutumikia wanamfanya kitu mbaya!:angry:

Eeeeeeeeeeeeeee eti????? Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ode Mae!
 
Huyo hakukimbiwa wala kutapeliwa
bwana harusi alipewa meseji za mwanamke muda mchache kabla ya ndoa
msg zenyewe alikuwa anachat na mheshmiwa fulani jina kapuni
akimuahidi hata kama anaolewa uchi atampa tu
hata ningekuwa ndo mie bwana harusi ningechapa lapa tu

Yesuu ruwa!....... So kwamba jamaa ni mume wa mtu na picha za mkewe zilirushwa ni uongo?
 
aisee....hizi intelijens mnapataga wapi..!
 
Story inapikwa weee inakaangwaa weee eti bwana tapeli
wakati msg zake zilifumwa tena siku chache kabla ya ndoa
uuuhhh nisijesutwa mie

mh!..hizi zingine za kuchongwa, simu za jamaa ziko configured vizuri sana conversation zote za kandokando zinaingia flash, au siku hiyo alijisahau? eh, ngoja nijiondoe zangu mie nilikuwa napita tu!
 
Huyo hakukimbiwa wala kutapeliwa
bwana harusi alipewa meseji za mwanamke muda mchache kabla ya ndoa
msg zenyewe alikuwa anachat na mheshmiwa fulani jina kapuni
akimuahidi hata kama anaolewa uchi atampa tu
hata ningekuwa ndo mie bwana harusi ningechapa lapa tu

Aiseeeee
Kumbe
 
Yesuu ruwa!....... So kwamba jamaa ni mume wa mtu na picha za mkewe zilirushwa ni uongo?

Inasemekana ndio alioa bt walisha achana na.mkewe kihalali kabisa coz mkewe alishindwa mume alikuwa hajatulia....
Na huyo aliyekua.mkewe wala hahusika kuharibu huo ndoa ya vicky wamemsingizia tu
 
umeona ee?...cooked story

Back
Top Bottom