amakyasya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 3,480
- 914
- Thread starter
- #41
Duh! Sasa hizo sms kwenda kwa mwanaume mwingine bwana arusi alizipataje au alipewa na nani?Huyo hakukimbiwa wala kutapeliwa
bwana harusi alipewa meseji za mwanamke muda mchache kabla ya ndoa
msg zenyewe alikuwa anachat na mheshmiwa fulani jina kapuni
akimuahidi hata kama anaolewa uchi atampa tu
hata ningekuwa ndo mie bwana harusi ningechapa lapa tu