Vicky Kamata asema marehemu mume wake "Alikuwa na vinyumba vya kawaida na msururu wa watoto!"

Nakuomba msamaha mume wangu kwa kuwa mimi ni Mkatoliki na Imani yangu inaniambia unaona na unajua kila kitu kinachoendelea kati yangu na wanao.

Najua muda utaongea lakini kwa kuwa nami ni binadamu naomba niseme yafuatayo! Ni kweli mimi ni kiumbe dhaifu na mwenye dhambi nyingi tu kama wengine.

Lakini wanangu kwanini mnapindisha ukweli? Nimedhulumu mali gani? Nimemfukuza nani? Nyumba ipi? Wanangu hata kama ni chuki iwe na kiasi basii.

Sitaki kumuaibisha mume wangu lakini mnanichochea na kunisukuma wanangu! Niambie Dunia ukweli wa maisha yangu na Baba yenu? Alikuwa na pesa kunizidi yes! Lakini alikuwa na asset gani ya maana kunizidi mimi?

Baba yenu alikuwa na vinyumba vya kawaida na msululu wa watoto! Kwanini alipokuwa na Mama zenu hakufanya maendeleo? Leo mnanichafua na kunipaka matope kwa jasho langu? Mungu mnamjua nyie watoto?

Nimetoka familia masikini sana, na nimefika hapa kwa jasho la damu. Naomba sana mshangilie ushindi wenu kwa heshima! Sijafukuza mtu! Sijadhulumu na sintakuja kudhulumu maishani kwangu.

Nafanya kazi usiku na mchana kwa kuwa najua sina wa kunipa cha bure. Baba yenu hata swimming pool ameikuta kwangu. Na baadae nikachimba kwa pesa zangu ili nifurahie uzee wangu mimi na yeye. Bahati Mbaya Mungu kamuita mapema ange enjoy na alikuwa anaenjoy. Najua mnamuumiza sana. Tulieni sihitaji hata kijiko ambacho siyo cha jasho langu. Jasho la mama zenu mtalifaidi na mimi jasho langu hayupo wa kunidhulumu.

Maisha ni hadhithi tu. 🙏🙏🙏🙏

Pia, soma=> Vicky Kamata aangukia pua kesi ya mirathi ya Dkt. Servacius Likwelile
Sometimes unajiuliza hivi vyeo watu wanapewa kwa vigezo gani,kwani angekaa kimya angepungukiwa na nini
 
Halafu ni vile tu hajui, hii case kuna wazito behind the scene waliokuwa wanaangalia haki itendeke, Vick kudhani angeweza kumuhonga kila mtu ni kujitafutia kutumika bila sababu.

Vick vita yake ni ngumu cause mama mjengo hata kaa amsamehe abadani asilani na yuko naye sambamba kwenye kila vita.

Kijana alijazwa mihela akapita kushoto.
Kwa hiyo maza mjengo ako kwa background
 
Nakuomba msamaha mume wangu kwa kuwa mimi ni Mkatoliki na Imani yangu inaniambia unaona na unajua kila kitu kinachoendelea kati yangu na wanao.

Najua muda utaongea lakini kwa kuwa nami ni binadamu naomba niseme yafuatayo! Ni kweli mimi ni kiumbe dhaifu na mwenye dhambi nyingi tu kama wengine.

Lakini wanangu kwanini mnapindisha ukweli? Nimedhulumu mali gani? Nimemfukuza nani? Nyumba ipi? Wanangu hata kama ni chuki iwe na kiasi basii.

Sitaki kumuaibisha mume wangu lakini mnanichochea na kunisukuma wanangu! Niambie Dunia ukweli wa maisha yangu na Baba yenu? Alikuwa na pesa kunizidi yes! Lakini alikuwa na asset gani ya maana kunizidi mimi?

Baba yenu alikuwa na vinyumba vya kawaida na msululu wa watoto! Kwanini alipokuwa na Mama zenu hakufanya maendeleo? Leo mnanichafua na kunipaka matope kwa jasho langu? Mungu mnamjua nyie watoto?

Nimetoka familia masikini sana, na nimefika hapa kwa jasho la damu. Naomba sana mshangilie ushindi wenu kwa heshima! Sijafukuza mtu! Sijadhulumu na sintakuja kudhulumu maishani kwangu.

Nafanya kazi usiku na mchana kwa kuwa najua sina wa kunipa cha bure. Baba yenu hata swimming pool ameikuta kwangu. Na baadae nikachimba kwa pesa zangu ili nifurahie uzee wangu mimi na yeye. Bahati Mbaya Mungu kamuita mapema ange enjoy na alikuwa anaenjoy. Najua mnamuumiza sana. Tulieni sihitaji hata kijiko ambacho siyo cha jasho langu. Jasho la mama zenu mtalifaidi na mimi jasho langu hayupo wa kunidhulumu.

Maisha ni hadhithi tu. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Pia, soma=> Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali
Taratibu mtatuelewa tunaposema #KATAANDOA
 
Kwa hiyo maza mjengo ako kwa background
Hata issue ya kukimbiwa na bwanaharusi mama mjengo alikuwa nyuma ya picha. Beef lake na Vick haliishi, sababu Vick alitaka amtoe kabisa maza ye akae… wenzie huwa wanakula na kupita hivi…

Maza kusema we binti usinitanie nimekutangulia mjini…

Hata hivyo Vick ni nunda sana, vigongo anavyokutanaga navyo inabidi ili atoboe atembeze kwa wengine pia kupata backup.

Story ya Vick kuhusu kubaniwa inaweza ikampata Jojo pia unless apate back up nzito mpya, maana yule maza anamuangalia binti kwa jicho la ukaribu sana.
 
hawa wanaccm ifike mahali wawe wanapeana semina wao wa wao huku namna ya kuishi na watu, wanatia aibu sana na kutia aibu chama chao. manake wengi hasa hao wanawake wanaonekana kama ni wadangaji tu na gold diggers. waacheni watoto washangilie ushindi wa nyumba za baba yao.
Kwani Hili suala linahusiana nini na mambo ya vyama? ushabiki Wenu wa vyama unawapumbaza sana akili
 
Back
Top Bottom