FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kama asemayo ni kweli, kwanini hakuandika mali zake kwa jina lake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAKAZIA,Mkiambiwa mkatae NDOA ni DHULMA Ndoa ni Wizi Ndoa ni UTAPELI tunaonekana WABAYA hayaaa mjionee wenyewe.
KATAENI MANDOA
Sometimes unajiuliza hivi vyeo watu wanapewa kwa vigezo gani,kwani angekaa kimya angepungukiwa na nini
Nakuomba msamaha mume wangu kwa kuwa mimi ni Mkatoliki na Imani yangu inaniambia unaona na unajua kila kitu kinachoendelea kati yangu na wanao.
Najua muda utaongea lakini kwa kuwa nami ni binadamu naomba niseme yafuatayo! Ni kweli mimi ni kiumbe dhaifu na mwenye dhambi nyingi tu kama wengine.
Lakini wanangu kwanini mnapindisha ukweli? Nimedhulumu mali gani? Nimemfukuza nani? Nyumba ipi? Wanangu hata kama ni chuki iwe na kiasi basii.
Sitaki kumuaibisha mume wangu lakini mnanichochea na kunisukuma wanangu! Niambie Dunia ukweli wa maisha yangu na Baba yenu? Alikuwa na pesa kunizidi yes! Lakini alikuwa na asset gani ya maana kunizidi mimi?
Baba yenu alikuwa na vinyumba vya kawaida na msululu wa watoto! Kwanini alipokuwa na Mama zenu hakufanya maendeleo? Leo mnanichafua na kunipaka matope kwa jasho langu? Mungu mnamjua nyie watoto?
Nimetoka familia masikini sana, na nimefika hapa kwa jasho la damu. Naomba sana mshangilie ushindi wenu kwa heshima! Sijafukuza mtu! Sijadhulumu na sintakuja kudhulumu maishani kwangu.
Nafanya kazi usiku na mchana kwa kuwa najua sina wa kunipa cha bure. Baba yenu hata swimming pool ameikuta kwangu. Na baadae nikachimba kwa pesa zangu ili nifurahie uzee wangu mimi na yeye. Bahati Mbaya Mungu kamuita mapema ange enjoy na alikuwa anaenjoy. Najua mnamuumiza sana. Tulieni sihitaji hata kijiko ambacho siyo cha jasho langu. Jasho la mama zenu mtalifaidi na mimi jasho langu hayupo wa kunidhulumu.
Maisha ni hadhithi tu. 🙏🙏🙏🙏
Pia, soma=> Vicky Kamata aangukia pua kesi ya mirathi ya Dkt. Servacius Likwelile
Tenaa?All women are Devils, Only your mother might be good to you. But she is still a devil to your father.
Kataa ndoa.
Mkuu, Huu ndio uhalisia ulivyo.Tenaa?
Alisha liwaga na yule mzee wa MbagalaUwe KATIBU mkuu hazina kwa miaka kibao uje kuwa marioo.
Jeuri ya huyo dada tunaijua anaitoa wapi sababu ashaliwa hadi na wakuu wa meza
Kwa hiyo maza mjengo ako kwa backgroundHalafu ni vile tu hajui, hii case kuna wazito behind the scene waliokuwa wanaangalia haki itendeke, Vick kudhani angeweza kumuhonga kila mtu ni kujitafutia kutumika bila sababu.
Vick vita yake ni ngumu cause mama mjengo hata kaa amsamehe abadani asilani na yuko naye sambamba kwenye kila vita.
Kijana alijazwa mihela akapita kushoto.
Anayejitambua hawezi kuandika ujinga hivyo kwenye mtandao.labda kama mnafanana akili ndo utamuona anajitambua.Mambo yakifamilia tena yanayomhusu marehem kuyaweka kwenye mtandao ni ujinga.Vicky Kamata anajitambua
Ngoma itanoga soon
Je vick ana Jinai baada ya ku file forged documents mahakamani!!??Mbona akafoji hadi nyaraka mahakamani ili kupata hivyo 'vinyumba'?
Taratibu mtatuelewa tunaposema #KATAANDOA
Nakuomba msamaha mume wangu kwa kuwa mimi ni Mkatoliki na Imani yangu inaniambia unaona na unajua kila kitu kinachoendelea kati yangu na wanao.
Najua muda utaongea lakini kwa kuwa nami ni binadamu naomba niseme yafuatayo! Ni kweli mimi ni kiumbe dhaifu na mwenye dhambi nyingi tu kama wengine.
Lakini wanangu kwanini mnapindisha ukweli? Nimedhulumu mali gani? Nimemfukuza nani? Nyumba ipi? Wanangu hata kama ni chuki iwe na kiasi basii.
Sitaki kumuaibisha mume wangu lakini mnanichochea na kunisukuma wanangu! Niambie Dunia ukweli wa maisha yangu na Baba yenu? Alikuwa na pesa kunizidi yes! Lakini alikuwa na asset gani ya maana kunizidi mimi?
Baba yenu alikuwa na vinyumba vya kawaida na msululu wa watoto! Kwanini alipokuwa na Mama zenu hakufanya maendeleo? Leo mnanichafua na kunipaka matope kwa jasho langu? Mungu mnamjua nyie watoto?
Nimetoka familia masikini sana, na nimefika hapa kwa jasho la damu. Naomba sana mshangilie ushindi wenu kwa heshima! Sijafukuza mtu! Sijadhulumu na sintakuja kudhulumu maishani kwangu.
Nafanya kazi usiku na mchana kwa kuwa najua sina wa kunipa cha bure. Baba yenu hata swimming pool ameikuta kwangu. Na baadae nikachimba kwa pesa zangu ili nifurahie uzee wangu mimi na yeye. Bahati Mbaya Mungu kamuita mapema ange enjoy na alikuwa anaenjoy. Najua mnamuumiza sana. Tulieni sihitaji hata kijiko ambacho siyo cha jasho langu. Jasho la mama zenu mtalifaidi na mimi jasho langu hayupo wa kunidhulumu.
Maisha ni hadhithi tu. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Pia, soma=> Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali
uko sahihi kabisa. [emoji817][emoji3581]Maneno ya wanawake na matendo yao huwaga hayafanani.
Kama umewai kuoa ama kuishi na mwanamke muda mrefu lazima utalijua hili nalosema
Kwamba we ni mtoto wa MSIMBE?Mkiambiwa mkatae NDOA ni DHULMA Ndoa ni Wizi Ndoa ni UTAPELI tunaonekana WABAYA hayaaa mjionee wenyewe.
KATAENI MANDOA
Wasukuma ni washamba mnoHivi jamani.... Swimming pool kumbe ni kitu Cha maana Sana ambacho ukikiongelea kinashitua watu eee.... Jamani.... Mimi ni huu ushamba umenielemea.... Like Seriously.... [emoji28][emoji1787]
Kama alifoji afunguliwe kesi ya Jinai haraka sana!!Kumbe alifoji
Sizitaki mbichi hizi.
Inatisha sana, wanaume hapa Mungu awatetee tu yani maana ni aibuHawa ndio wanawake wetu, watakuvua nguo hata ukiwa maiti.
Hata issue ya kukimbiwa na bwanaharusi mama mjengo alikuwa nyuma ya picha. Beef lake na Vick haliishi, sababu Vick alitaka amtoe kabisa maza ye akae… wenzie huwa wanakula na kupita hivi…Kwa hiyo maza mjengo ako kwa background
Kwani Hili suala linahusiana nini na mambo ya vyama? ushabiki Wenu wa vyama unawapumbaza sana akilihawa wanaccm ifike mahali wawe wanapeana semina wao wa wao huku namna ya kuishi na watu, wanatia aibu sana na kutia aibu chama chao. manake wengi hasa hao wanawake wanaonekana kama ni wadangaji tu na gold diggers. waacheni watoto washangilie ushindi wa nyumba za baba yao.