Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Vp unamshauri nn mwenzio mnadai haki sawaKunyamaza kimya ingetosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp unamshauri nn mwenzio mnadai haki sawaKunyamaza kimya ingetosha.
Aisee kumbe Vicky Mzuri eeh. Nilikuwa simjui
Nakuomba msamaha mume wangu kwa kuwa mimi ni Mkatoliki na Imani yangu inaniambia unaona na unajua kila kitu kinachoendelea kati yangu na wanao.
Najua muda utaongea lakini kwa kuwa nami ni binadamu naomba niseme yafuatayo! Ni kweli mimi ni kiumbe dhaifu na mwenye dhambi nyingi tu kama wengine.
Lakini wanangu kwanini mnapindisha ukweli? Nimedhulumu mali gani? Nimemfukuza nani? Nyumba ipi? Wanangu hata kama ni chuki iwe na kiasi basii.
Sitaki kumuaibisha mume wangu lakini mnanichochea na kunisukuma wanangu! Niambie Dunia ukweli wa maisha yangu na Baba yenu? Alikuwa na pesa kunizidi yes! Lakini alikuwa na asset gani ya maana kunizidi mimi?
Baba yenu alikuwa na vinyumba vya kawaida na msululu wa watoto! Kwanini alipokuwa na Mama zenu hakufanya maendeleo? Leo mnanichafua na kunipaka matope kwa jasho langu? Mungu mnamjua nyie watoto?
Nimetoka familia masikini sana, na nimefika hapa kwa jasho la damu. Naomba sana mshangilie ushindi wenu kwa heshima! Sijafukuza mtu! Sijadhulumu na sintakuja kudhulumu maishani kwangu.
Nafanya kazi usiku na mchana kwa kuwa najua sina wa kunipa cha bure. Baba yenu hata swimming pool ameikuta kwangu. Na baadae nikachimba kwa pesa zangu ili nifurahie uzee wangu mimi na yeye. Bahati Mbaya Mungu kamuita mapema ange enjoy na alikuwa anaenjoy. Najua mnamuumiza sana. Tulieni sihitaji hata kijiko ambacho siyo cha jasho langu. Jasho la mama zenu mtalifaidi na mimi jasho langu hayupo wa kunidhulumu.
Maisha ni hadhithi tu. 🙏🙏🙏🙏
Pia, soma=> Vicky Kamata aangukia pua kesi ya mirathi ya Dkt. Servacius Likwelile
Uliniona nae wakati tunadai haki sawa?Vp unamshauri nn mwenzio mnadai haki sawa
Okei fineUliniona nae wakati tunadai haki sawa?
Hakupaswa kuandika eti hata swimming pool kaikuta kwake,eti hakuwa na asset kumzidi,jamani aibu nimesikia Mimi....hiki ni kiasi Kikubwa Cha utomvu wa nidhamuKauli hizo zinakosa hekima, nafsi yake inaonekana ilikuwa imemdharau sana marehemu mume hata alipokuwa hai na lengo lake ilikuwa ni kuchuma na kuondoka....means alikuwa anamwona marehemu kama mjinga fulani..
Vicky Kamata anajitambua
Nakuomba msamaha mume wangu kwa kuwa mimi ni Mkatoliki na Imani yangu inaniambia unaona na unajua kila kitu kinachoendelea kati yangu na wanao.
Najua muda utaongea lakini kwa kuwa nami ni binadamu naomba niseme yafuatayo! Ni kweli mimi ni kiumbe dhaifu na mwenye dhambi nyingi tu kama wengine.
Lakini wanangu kwanini mnapindisha ukweli? Nimedhulumu mali gani? Nimemfukuza nani? Nyumba ipi? Wanangu hata kama ni chuki iwe na kiasi basii.
Sitaki kumuaibisha mume wangu lakini mnanichochea na kunisukuma wanangu! Niambie Dunia ukweli wa maisha yangu na Baba yenu? Alikuwa na pesa kunizidi yes! Lakini alikuwa na asset gani ya maana kunizidi mimi?
Baba yenu alikuwa na vinyumba vya kawaida na msululu wa watoto! Kwanini alipokuwa na Mama zenu hakufanya maendeleo? Leo mnanichafua na kunipaka matope kwa jasho langu? Mungu mnamjua nyie watoto?
Nimetoka familia masikini sana, na nimefika hapa kwa jasho la damu. Naomba sana mshangilie ushindi wenu kwa heshima! Sijafukuza mtu! Sijadhulumu na sintakuja kudhulumu maishani kwangu.
Nafanya kazi usiku na mchana kwa kuwa najua sina wa kunipa cha bure. Baba yenu hata swimming pool ameikuta kwangu. Na baadae nikachimba kwa pesa zangu ili nifurahie uzee wangu mimi na yeye. Bahati Mbaya Mungu kamuita mapema ange enjoy na alikuwa anaenjoy. Najua mnamuumiza sana. Tulieni sihitaji hata kijiko ambacho siyo cha jasho langu. Jasho la mama zenu mtalifaidi na mimi jasho langu hayupo wa kunidhulumu.
Maisha ni hadhithi tu. 🙏🙏🙏🙏
Pia, soma=> Vicky Kamata aangukia pua kesi ya mirathi ya Dkt. Servacius Likwelile
Kuto...mbw....sio shughuli ndogo. Waulize kina dada watakuhadithiaJasho na damu kivipi? Shughuli gani ambayo anaiita jasho na damu?
Kuchimba swimming pool ni shilingi ngapi? Usijekuta kuchimba swimming pool sio bei kiviile.
Mtu mzima,hasa Mwanamke akikuambia maneno hayo ....kaa Kimya,muelewe!Jasho na damu kivipi? Shughuli gani ambayo anaiita jasho na damu?