Vicky Kamata asema marehemu mume wake "Alikuwa na vinyumba vya kawaida na msururu wa watoto!"

Midume ya CCM kazi kuomba tigo kwa wanawake. Umeona lile libunge linaloitwa Deo Sanga linalia na mwanamke aje alipe tigo eti linadai ''ndiyo ugonjwa wake''.
Kwenye vyama vyetu sio kwamba wote ni watakatifu. Watu kama hao wapo kila mahali. Siku hizi hadi makanisani huko ni ushenzi mtupu. Cha muhimu kwa CCM ni ushindi kwenye uchaguzi ili tuendelee kushika dola.
 
At the very least, she got class: Integrity. Morals. And her own hard-earned money too.
 
Hivi ni kwa nini mambo mengi ya wawili huwa yanakuja kuwa hadharani baada ya mmoja kufariki? Wakati mume wake yupo hai Vicky alionekana kuwa mwenye upendo mkubwa kwa hiyo familia, kumbe ulikuwa upendo feki.
Ni nature. Binadamu wote sisi ni wanafiki. Hata wewe Maulaga siku ukifa tutajua mambo yako ya sirini ila muhimu ni yawe mazuri.
 
Kwenye vyama vyetu sio kwamba wote ni watakatifu. Watu kama hao wapo kila mahali. Siku hizi hadi makanisani huko ni ushenzi mtupu. Cha muhimu kwa CCM ni ushindi kwenye uchaguzi ili tuendelee kushika dola.
Sijasema na wala sitasema wote wanaweza kuwa watakatifu. Dunia popote hata Ulaya washenzi wapo. Kinachohojiwa ni je, wale wakosaji wanashughulikiwa? Huwezi kuwa na nchi yenye wabunge waliokosa maadili kutwa kucha kuomba tigo kwa wanawake na hakuna anayejali halafu useme kila mahali hali ni hii. Mtu kama anataka kuwa kiongozi ni lazima awe mwadilifu. Kama hawezi aachie ngazi na awe na uhuru wa kufanya mambo yake.
 
CHADEMA mlimshughulikia Mbowe kuteua hawara wake kuwa mbunge wa viti maalum? Unakumbuka Clip ya Mbowe na Wema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…