Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Sasa kama ameshindwa kutumia pesa vizuri za ubunge miaka yote ataweza kweli huko tawa kubadilikaUnajua noti anayokula huko TAWA? Kazi za TAWA, TFS, NCAA na TANAPA zina malisho manono kama TRA na TPA.