Vicky Kamata asema marehemu mume wake "Alikuwa na vinyumba vya kawaida na msururu wa watoto!"

Vicky Kamata asema marehemu mume wake "Alikuwa na vinyumba vya kawaida na msururu wa watoto!"

CCM ndiyo kumejaza mijanajike ya namna hiyo. Ndiyo maana nchi imekuwa kama ina laana hatuendi popote. Midume ya CCM nayo kazi kuomba tigo kwa wanawake. Umeona lile libunge linaloitwa Deo Sanga linalia na mwanamke aje alipe tigo eti linadai ''ndiyo ugonjwa wake''.
Daaah lile kutwa kumsifu mama abdul kuliko mkewe,kumbe nalo nilibumunda
 
Cathe amezeeka nowadays, halafu sijui kajichonga shepu, ila usoni amekongoroka sana. Nae yalimsibu alichukua mume wa mtu akafariki akaenda kupigana makaburini

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Yule ni muuza nyama bungeni,huwezi kumuona akichangia chochote...yuko na mwenzake viti maalum kilimanjaro alikua hata tako wameenda uturuki na kujazwa putty
 
Kwenye siasa hayo mambo yapo sana. CHADEMA ndo wataalamu wa hayo mambo ya kishenzi. Pale covid19 karibu wote kama sio mke kuna hawara. Mbowe bila aibu alimteua hawara wake Joyce Mukya kuwa mbunge. DrSlaa naye akampa shavu Cecilia. Naibu Katibu mkuu Kigaila ana mke wake kwenye kundi la covid19. Yaani ni ufuska mtupu.
Malaya wa viti maalum ccm wako mpka vibibi,vinestaafu vikiwa visembe sugu...mpka bosd wako nae walewale
 
Kwenye vyama vyetu sio kwamba wote ni watakatifu. Watu kama hao wapo kila mahali. Siku hizi hadi makanisani huko ni ushenzi mtupu. Cha muhimu kwa CCM ni ushindi kwenye uchaguzi ili tuendelee kushika dola.
Unaliwa na festo sanga mzutiiii
 
Wasukuma tuna maneno mawili tu, mke au hawara, hayo mengine sijui Masuria, mchepuko, goalkeeper, mnyonyadamu, ruba n.k ndo yanamchefua dadangu mpk anashindwa kukaa kmya
 
Huyo mzee alikua loaded,kesi ya kitilya wa tra ilimtaka mnufaika wa ule upigaji,huyo ndio alitoa malipo ya escrow halafu malaya wa geita anasema alikua n vijumba...malaya mbwa hanaga akili kuna mwingine yuko arusha ni mbunge viti maalum
Huyu wa Arusha ni Catherine bila shaka.
 
hapo kuita nyumba vijumba kazingua hizo ni dharau

kukaa kimya huwa n nzuri, ila maneno yakizidi na kuachwa watu wana anza amini bora ukayazima mapema sana
Sijui kwanini anapambania mali..

Ila Vicky sio masikini, Pesa anayo ya kutosha.

Tamaa labda mana waswahili hatuna kiasi.
 
Hata issue ya kukimbiwa na bwanaharusi mama mjengo alikuwa nyuma ya picha. Beef lake na Vick haliishi, sababu Vick alitaka amtoe kabisa maza ye akae… wenzie huwa wanakula na kupita hivi…

Maza kusema we binti usinitanie nimekutangulia mjini…

Hata hivyo Vick ni nunda sana, vigongo anavyokutanaga navyo inabidi ili atoboe atembeze kwa wengine pia kupata backup.

Story ya Vick kuhusu kubaniwa inaweza ikampata Jojo pia unless apate back up nzito mpya, maana yule maza anamuangalia binti kwa jicho la ukaribu sana.
Sasa Jojo anaangaliwa kwa jicho la ukaribu kwann tena wakati shughuli imeshaisha
 
Back
Top Bottom