Alipopata akamvuruga.....anzia Likwe ....hadi kwake yeye...Mnafki sana huyu.Si aliwahi hadi kuimba bungeni wimbo wa kumsifu Magufuli. Kipindi anatafuta kura za maoni Kibamba kwenye poster zake si alikuwa anamsifia Magufuli ?.
Opportunist mzuri, sasa Jiwe alimpiga chini mumewe ambapo yeye alijiegesha mpaka akafa. Ndio maana ya kelele zote hizo.Mnafki sana huyu.Si aliwahi hadi kuimba bungeni wimbo wa kumsifu Magufuli. Kipindi anatafuta kura za maoni Kibamba kwenye poster zake si alikuwa anamsifia Magufuli ?.
Kwa ya kigeni alikuwa "sadist" wa kiwango cha juu sana!Hiyo post aliyoiandika kuna mwenye nayo?
Huyo aliguswa PabayaHuyu naye au alikuwa miongoni mwa wanufaika wa Kikwete?
Mbona hamusahau Jiwe?
Swala kufa kila mtu atakufa,mbona kifo Cha Magufuli anakiona Kama adhabu?
Mbona mme wake alishakufa naye alionea watu ndo maana alikufa?
Hovyo kabisa.
Asante katili kwa kuwakilisha uji-nga wakoTanzania inataka ukatili kama miaka 50 hivi kushape jamii.....binafsi naanza harakati za kuwa Rais wa hii nchi na nitakuwa Katili kuliko huyo mnayemsema muache kudekadeka...
Hili linchi lina WAPUMBAVU wengi wanaohitaji ukatili wa hali ya juu tena miaka za 50 hivi ili wakae sawa na jamii mpya ikija iwe ya watu wasiopenda upumbavu na ukijaribu upumbavu unakufa on the spot..
Hiyo ulaya na America mnayokimbilia iliwahi kuwa ma makatili kuliko huyu mnayemuita katili ( late JPM hakuwa katili aisee aliwapenda mno anahitajika katili kuliko yeye).... huko ulaya na america viliwahi kupita vizazi katili ndio maendeleo yakaja ya kweli sio hii sugar coating..
Leo hii Ulaya na America imeendelea na makatili wote wamekabi in back face kwa kazi fulani fulani za kikatili na huko front face imewekewa wanasiasa wanaotabasamu lakini ukatili unaendelea nyuma huko....Ndio waiRaq walinyonga Saadam, Walibya wakamuua Ghadafi, huu ni ukatili wa back stage wa hao mnaowaona wanademocracy...
Bila hii nchi kuwafanyia ukatili wapumbavu na mamia kwa maelfu wakapotea na kufa haiwezi siku kuja kuendelea kwa hayo tunayoita maendeleo ya kweli....
Tanzania inataka ukatili kama miaka 50 hivi kushape jamii.....binafsi naanza harakati za kuwa Rais wa hii nchi na nitakuwa Katili kuliko huyo mnayemsema muache kudekadeka...
Hili linchi lina WAPUMBAVU wengi wanaohitaji ukatili wa hali ya juu tena miaka za 50 hivi ili wakae sawa na jamii mpya ikija iwe ya watu wasiopenda upumbavu na ukijaribu upumbavu unakufa on the spot..
Hiyo ulaya na America mnayokimbilia iliwahi kuwa ma makatili kuliko huyu mnayemuita katili ( late JPM hakuwa katili aisee aliwapenda mno anahitajika katili kuliko yeye).... huko ulaya na america viliwahi kupita vizazi katili ndio maendeleo yakaja ya kweli sio hii sugar coating..
Leo hii Ulaya na America imeendelea na makatili wote wamekabi in back face kwa kazi fulani fulani za kikatili na huko front face imewekewa wanasiasa wanaotabasamu lakini ukatili unaendelea nyuma huko....Ndio waiRaq walinyonga Saadam, Walibya wakamuua Ghadafi, huu ni ukatili wa back stage wa hao mnaowaona wanademocracy...
Bila hii nchi kuwafanyia ukatili wapumbavu na mamia kwa maelfu wakapotea na kufa haiwezi siku kuja kuendelea kwa hayo tunayoita maendeleo ya kweli....
Huyu ni mwanaccm mwenzao ndio anasema hivi sio mbowe.Amesema kiongozi wa awamu ya tano (jiwe) alikuwa mtu katili sana kiasi cha kumfanya apate taabu sana.
Amewasihi watanzania kuishi kwa kutenda mema maana duniani tunapita. Jiwe alilewa madaraka.
Amemaliza kwa kusema pamoja na kufuta andiko lake la kumshutumu jiwe ni kweli jiwe aliniumiza sana.
Source: StarTv (Medani za Siasa) muda huu.
Huyu ndie aliwekwa na MUNGU sio haya makatili ya Zama hizi.
Angesema kipindi kile kuwa jamaa ni Mali ya Mirembe Angemla nyama.Kama Antony Diallo tu
Ameongea ukweli haswa.Atulie Huyo Ccm Reserve
Hiyo post aliyoiandika kuna mwenye nayo?
Huyu mke wa Likwerile aliyetumbuliwa na Magufuli!Amesema kiongozi wa awamu ya tano (jiwe) alikuwa mtu katili sana kiasi cha kumfanya apate taabu sana.
Amewasihi watanzania kuishi kwa kutenda mema maana duniani tunapita. Jiwe alilewa madaraka.
Amemaliza kwa kusema pamoja na kufuta andiko lake la kumshutumu jiwe ni kweli jiwe aliniumiza sana.
Source: StarTv (Medani za Siasa) muda huu.
Wataendelea kufunguka tu