Vicky Kamata: Rais Samia hawezi kutibu majeraha, viongozi wa dini wagange mioyo ya watu, wamejeruhiwa

Vicky Kamata: Rais Samia hawezi kutibu majeraha, viongozi wa dini wagange mioyo ya watu, wamejeruhiwa

Amesema kiongozi wa awamu ya tano (jiwe) alikuwa mtu katili sana kiasi cha kumfanya apate taabu sana.

Amewasihi watanzania kuishi kwa kutenda mema maana duniani tunapita. Jiwe alilewa madaraka.

Amemaliza kwa kusema pamoja na kufuta andiko lake la kumshutumu jiwe ni kweli jiwe aliniumiza sana.

Source: StarTv (Medani za Siasa) muda huu.
Utaacha vipi kuumia wakati ulipanda kwenye medani za siada kwa kubebwa kwa uanawake wako?
 
Huyu naye au alikuwa miongoni mwa wanufaika wa Kikwete?
Mbona hamusahau Jiwe?
Swala kufa kila mtu atakufa,mbona kifo Cha Magufuli anakiona Kama adhabu?
Mbona mme wake alishakufa naye alionea watu ndo maana alikufa?
Hovyo kabisa.
Ndio swala la kufa kila mtu atakufa hakuna aliyekatra. Lakini mambo Magufuli alivyokuwa akifanya alijiona immortal hatawai kufa ataishi milele kisa tu alibahatisha urais kwa kupewa na NEC. Matokeo yake kafa kwa aibu kwa kuzungushwa zungushwa na machela. Kumbuka hata kabla hajamminia Lissu risasi alishampangia hadi mazishi yakr
 
Fala wewe!
 
Mnafiki mkubwa huyo mbona hakuthubutu kuyasema haya Hayati alipokuwepo ili akione cha Moto vizuri?

Kwahiyo alitaka Hayati nae ampende na hata amtongoze kama alivyotongwa na Mstaafu Mswahili wa Chalinze ambaye alimwandikia namba yake ya Simu katika Simu yake katika Hafla ya CCM Mwanza Hotel 2006 ndipo akawa nae Kimahusiano na mpaka kumpa Vyeo mbalimbali Benki Kuu, katika Taasisi nyingine na Kumpambania awe Mbunge wa Viti Maalum?

Tena angekuwa na 'Akili' angenyamaza.

Naam,wewe wamjua vizuri sana huyu mdangaji alokosa haya na sasa anataka hata kudhulumu mali za watoto wa Dr Likwelile
 
alizoea kufumuliwa marinda na wa awam ya nne. Akajipendekeza kwa jiwe afumuliwe tena ili apewe kacheo, jiwe kamtema nje. Sasa analia nini? Alizoea kubebwa na kikwete, jiwe alikuwa habebi malaya.

Na ndiyo makasiriko yote haya tunayoyaona,baada ya kugonga mwamba mawindo yake akakimbilia kuolewa na Dr Likwelile.
 
Amefungua " Pandora's box " au " flood gepe" kaamua watu wafungue kitabu cha siri chenye kurasa za maisha yake.....
 
Naam,wewe wamjua vizuri sana huyu mdangaji alokosa haya na sasa anataka hata kudhulumu mali za watoto wa Dr Likwelile
Namjua vyema tena hata kuliko anavyojijua Mpuuzi na Mnafiki mkubwa huyo. Tena asirudie tena Kumsema vibaya Hayati Rais Dkt. Magufuli kwani wengine tuna 'Mafaili' yake mengi tu kuanzia akiwa pale SAUT Mwanza na Kwingineko alikokuwa.
 
Hakumpindua mwanamke yeyote. Marehemu Likwelike aliachana na mkewe wa ndoa kwa talaka. Akaoa mwanamke mwingine. Yule mwanamke Mwingine alifariki kwa ugonjwa wa Cancer. Akaishi miaka kadhaa bila mke na ndiyo akaja kumuoa Vicky Kamata.
Kifupi hata watoto wa mke mkubwa waliyeachana ( ambaye naye ni marehemu kwa sasa) wanampenda Vicky Sana na siku Wana muaga Baba Yao waliweka wazi na kumsifu mno Vicky.

Taarifa sahihi ni muhimu mno.

Hapo pa watoto wanampenda sana Vicky umedanganya,watampendaje mtu anaetaka kuwadhulumu mali zao halali.Unadhani watu hatujui timbwili linaloendelea ndani ya Familia ya Likwelile?
 
Back
Top Bottom