and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Angalau maana sikuwahi kuona mchango wake wa maana bungeniYule Malkia wa nguvu aka Mwanamke shupavu bingwa wa mambo ya urithi ametoswa tena huko Geita. Wajumbe si watu wazuri
Watu wanataka vya 2000Chakul kishachokwaaa
Ova
Mkuu Tena unashikishiwa kibunda kwa la lazima Yan 😂, utake usitake utapokeaAcha wakaangane! Nasikia rushwa ni nje nje!