Vicky Kamata 'Wanawake na Maendeleo ' atoswa tena Geita

Msoga kampotezea mda wake🤣😂😂😂😂
 
Ok sawa usihofu, nimechombeza tu mkuu 😄
Nadhani Kuna Uzi wake humu jibu la mwisho ni atoe ile swimming pool maake anaonekana sio mmiliki halali wa Mali za likwelile coz jamaa mke wa ndoa alikuwa hai, pindi anamuoa bibiye na kuhesabika kama hawara
 
Ok sawa mkuu

Nikipata muda nitachek kama utakuwepo huo UZI
 
Kuna kada wa mbogamboga kawapasua vibaya kuhusu wateuliwa huko meatu . Meatu kateuliwa nani tajiri anayegawa pesa
 
Back
Top Bottom