Vicky Kamata 'Wanawake na Maendeleo ' atoswa tena Geita

Huyo ni muajiriwa wa mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori Tanzania lakini anataka na ubunge.
 
Ila huyu dada kama kuna mtu mwenye gundu na mikosi basi yupo kwenye top 20.

Anabalaa la kukosa shabaha zake kupita maelezo.
 
Hivi huyu si alikuwa mbunge?kwanini asigombee jimboni?
 
Ndo shida ya wabawake uzuri una kipindi maalum utatumika weee muda ukikutupa mkono hamna mwenye time na wewe sasa watoto wa 2010 karibu wanaingi sokoni hata wa 2000 soko lao litaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…