Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,835
- 8,703
... jilinganishe naye! GUNDU GANI LA MTU KUOKOTA DODO CHINI YA MBUYU MARA KIBAO?Ila huyu dada kama kuna mtu mwenye gundu na mikosi basi yupo kwenye top 20.
Anabalaa la kukosa shabaha zake kupita maelezo.
Mmmmhmn mzee basi haumjui Vicky kamata hata kidogo.... jilinganishe naye! GUNDU GANI LA MTU KUOKOTA DODO CHINI YA MBUYU MARA KIBAO?
Msoga hamtaki Tena😁😁😁😁😁Yule Malkia wa nguvu aka Mwanamke shupavu bingwa wa mambo ya urithi ametoswa tena huko Geita. Wajumbe si watu wazuri
Hey ndo yule nimemuona "mazabahu" ya Mwamposa Nini? ma mdogo akeeeMama yake mdogo alokuwa akimfanyia mazingaombwe apite, kaacha uganga.
Bado anaweza kupita. Majiina yanarudishwa Tena kamati kuu, kamati kuu ndio muamuzi wa mwishoMsoga hamtaki Tena😁😁😁😁😁
Watajijua !!!!binafsi sitambui lolote kuhusu uchaguzi wa TZ ni upotezaji wa muda Kodi zetu na kugeuzwa machizi ...sitaki kusikia mambo ya uchaguzi Wala sipigi kuraBado anaweza kupita. Majiina yanarudishwa Tena kamati kuu, kamati kuu ndio muamuzi wa mwisho
Sijajua sasa ila yeye alikuwa anaishi hapo Sinai MwanzaHey ndo yule nimemuona "mazabahu" ya Mwamposa Nini? ma mdogo akeee
Kwenye haya maisha kila aliyemuamini mzaliwa wa town amepata hasara huyu mtu ni wa kumkwepa sana duuhMsoga kampotezea mda wake🤣😂😂😂😂
Ameshagawa mirathi kwa usawa?Vipi kwa likwelile hawajambo??
Kwan kipenzi chake Cha oldies kinasemaje kuhusu hili ?
Sijajua bado mkuuAmeshagawa mirathi kwa usawa?
Ok sawa usihofu, nimechombeza tu mkuu 😄Sijajua bado mkuu
Nadhani Kuna Uzi wake humu jibu la mwisho ni atoe ile swimming pool maake anaonekana sio mmiliki halali wa Mali za likwelile coz jamaa mke wa ndoa alikuwa hai, pindi anamuoa bibiye na kuhesabika kama hawaraOk sawa usihofu, nimechombeza tu mkuu 😄
Ok sawa mkuuNadhani Kuna Uzi wake humu jibu la mwisho ni atoe ile swimming pool maake anaonekana sio mmiliki halali wa Mali za likwelile coz jamaa mke wa ndoa alikuwa hai, pindi anamuoa bibiye na kuhesabika kama hawara
Cheki tuu case ya Vick kamata utaiona humu ilitoka kama sio 2023 basi 2022Ok sawa mkuu
Nikipata muda nitachek kama utakuwepo huo UZI
Sawa mkuuCheki tuu case ya Vick kamata utaiona humu ilitoka kama sio 2023 basi 2022
Mwaka wa taabuYule Malkia wa nguvu aka Mwanamke shupavu bingwa wa mambo ya urithi ametoswa tena huko Geita. Wajumbe si watu wazuri