johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Mkuu Bagamoyo ameshaileta bwashee!Ka aliyekutwa maana wengine hatumjui.
Wala sio kamanda mkuu, mimi naamini upinzani wenye nguvu unakiweka chama tawala kwenye msitari. Sasa haka kautamaduni wa chama chetu CCM kakiendelea basi upinzani unaweza kufanikiwa kwa urahisi na hiyo itakiinyoosha hicho chama chetu. Au Mzee Mgaya anasemaje huko kuhusu hili?Au kamanda God kaanza kampeni mapema?
Hahahaaaa....... Polepole atutangazie tu majina ya wagombea wetu wasije kuuwana bure!Wala sio kamanda mkuu, mimi naamini upinzani wenye nguvu unakiweka chama tawala kwenye msitari. Sasa haka kautamaduni wa chama chetu CCM kakiendelea basi upinzani unaweza kufanikiwa kwa urahisi na hiyo itakiinyoosha hicho chama chetu. Au Mzee Mgaya anasemaje huko kuhusu hili?
Hahahaaaa...... hahahaaaa...... kazi kweli kweli!Duh CCM bana hainatofauti na Freemason.
Sisi hatuna mjumbe wa kamati kuu anayeitwa SumayeChadema sumu haionjwi by F T Sumaye mjumbe kamati kuu.
Wakati anatamka hayo alikuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chadema!Sisi hatuna mjumbe wa kamati kuu anayeitwa Sumaye
Kesho shughuli zote za kisiasa mkoani Arusha zitasimama kwa sababu za kiusalama hadi magaidi waliomdhuru Njau wapatikane!Huyo hakunywa Faru John bwashee?
Kumbe inawezekana hiyo?itakuwa kajibamiza mwenyewe ili ku justify accusations zake dhidi ya washindani wake!