Victoria C Mwanziva: Mgombea nafasi ya Umakamu Mwenyekiti UVCCM taifa

Victoria C Mwanziva: Mgombea nafasi ya Umakamu Mwenyekiti UVCCM taifa

Victoria apewe Kura za Ndio

lulu mpya Umoja Wa - Vijana

" Always learning and always sharing what I have learned - purpose of acquiring knowledge for it to be beneficial to everyone " Victoria Mwanziva 2017

25 mei 2022 Baraza Kuu la Umoja Wa Vijana ( Uvccm ) Taifa lilipo mthibitisha Cde ' Victoria C . Mwanziva Kuwa Katibu Wa Uhamasishaji na chipukizi Uvccm Taifa nilijisemea moyoni Uvccm wamelamba dume

Ingizo Sahihi na Wakati Sahihi , ninamfahamu Kiongozi huyu , Kwa namna alivyo na Wivu na Mahaba Kwa CCM nikajua ana kwenda kuleta radha Tofauti pale makao Makuu Ya Uvccm , nathubutu Kusema kongole Uvccm Kwa namna mlivyo litendea haki pendekezo la Halmashauri Kuu Ya Chama Chetu Taifa na matunda tumeyaona

Kiongozi Victoria aliingia na spirit Ileile tunayoifahamu toka kwake ya kuunganisha Vijana Nchini na Kusaka Kila fursa inayojitokeza Ndani na Nje ya Nchi Kwa ajili ya Vijana Wa Tanzania ikiwamo Fursa za mafunzo ( scholarships )

Na kwa Mwaka Huu 2022 akisaidia Kundi kubwa la Vijana Kupata mafunzo ya Uongozi katika Usimamizi Wa Umma ( leadership in public management ) , uongozi Katika Biashara ( leadership in business management ) na Uongozi katika Jamii ( leadership in civic engagement ) Yanayotolewa na YALI Mandela Washington fellowship yaliyofayika Minessota Marekani , Chini Ya Usimamizi Wa Department of state of America

Kama ni kuvaa viatu Vya Muhamasa aliye tangulia Mhe. Jokate Urban Mwegelo Ambaye Sasa Ni DC Temeke Ndg Victoria anatosha ametutendea Haki Vijana Wenzie

Lengo la makala Hii si kuzungumzia Sana nafasi yake Hii ya Hamasa Msomi Huyu Wa Shahada ya Uzamili ambaye kwake kujitoa Kwa Jambo la CCM hakuna mjadala Bali ni kumuombea Kura Nyingi Za Ndio Baada ya Kamati Kuu Ya Halmashauri Kuu Ya CCM ( CC ) kupendekeza Jina lake Kwa Halmashauri Kuu Ya CCM Taifa ( NEC ) ambayo pia Imempitisha Kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Wa Uvccm Taifa 2022 - 2027

Akiwa masomoni Nchini China Comrade Victoria hakuacha tabia yake ya kujifunza mambo mbalimbali Nje ya darasa ambayo pia uyaleta Mbele ya Umma ( public platforms ) Kwa manufaa ya Vijana Nchini Bila kujali gharama za nauli kwenda Katika midahalo mbali na Chuo Cha Institute of technology *Beijing China, ukiwamo Ule ulioudhuriwa na Billionea JACK MA Wa Global young leaders youth summit Uliofanyika Jimbo la Hangzhou Zhejiang chin ya Udhamini Wa Alibaba foundation na general association of Zhejiang entrepreneurs

Ni Ndugu Mwanziva aliye saidia ( connections ) Vijana Nchini Kupata Fursa za mafunzo Seoul Nchini Korea , na Fursa Nyingine Nyingi ikiwamo Ile ya Sadc Youth forum : climate change Youth envoy , amekuwa msaada Wa Kulea Vijana Wenzie na kuwapa mwelekeo ( Coaching and mentoring ) Cde Victoria atatufaa

Naomba Kura Kwa Gwiji Huyu Wa Uvccm Mwenye Uwezo Wa kuzungumza lugha Zaidi ya Tano ikiwamo Kichina , Kiingereza na Kiswahili ambaye alipokua Katika masomo ya Shahada yake ya Kwanza Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam alikua Kiongozi wa Vijana Chini Ya - Youth United Nations Association UDSM chapter Akishiriki Tafiti Nyingi Kwa Msaada Wa REDET kujua Nini ni Mahitaji Muhimu Kwa Viongozi Vijana Afrika

Victoria Anatosha Wajumbe Tunawategemea

Mwangoka Deogratius - Mwana CCM Rungwe

Sijui kwanini sijawahi ipenda CCM tangu kuzaliwa.
 
Kuna watu wamezaliwa wa kazi yao kuwapigia wenzao promo tu,kwenye
Ulaji....

Ova
 
Gushleviv alipo sasa hivi analia tu. Aliwekeza madafu yake kwe crypto exchange FTX. Alijifanya bullish eti am buying the dip soon al b fakin rich when crypto goes up. Nikamshauri dogo tafuta shamba ulime hakusikua.
 
Myebusi kama Myebusi ni lini ukayajua ya ukaldayo??
Hahaha Sam bank-man fried kashawapiga huko. Laiti ungesikia ushauri wangu angalau ukawekeza hayo madafu yako kwenye pembejeo badala ya crypto.
 
Hahaha Sam bank-man fried kashawapiga huko. Laiti ungesikia ushauri wangu angalau ukawekeza hayo madafu yako kwenye pembejeo badala ya crypto.
Niliachana na Crypto kitambo sana siku hizi natrade stocks na commodities
Screenshot_20221117-152304.png
Screenshot_20221117-152322.png
 
Hongera sana Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa UVCCM TAIFA Comrade Ndugu VICTORIA C MWANZIVA kwa kuteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Kugombea na Kuwania Nafasi ya Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa.
Hongera wakati mwenzako anatakiwa kuumia kwa kutoa rushwa ya nanihii
 
Hongera sana Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa UVCCM TAIFA Comrade Ndugu VICTORIA C MWANZIVA kwa kuteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Kugombea na Kuwania Nafasi ya Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa.

Ikawe Heri Kwako. Na Mungu akubariki Sana. ✅🇹🇿🙏

View attachment 2416849
Hafai,alikuwa demu wangu udsm mwaka 2013,ni mkatili na mbinafsi sana,mume wake alijua uhusiano wetu kila mara hunipigia akilalamika kuhusu huyu mama/dada
 
Hafai,alikuwa demu wangu udsm mwaka 2013,ni mkatili na mbinafsi sana,mume wake alijua uhusiano wetu kila mara hunipigia akilalamika kuhusu huyu mama/dada
Hatari sana[emoji1787][emoji1787]vipi kitandani mauno yapo??[emoji2960][emoji2960]
 
Back
Top Bottom