Victoria Secret Fashion Show: Models With Natural Hair on the Runway

Victoria Secret Fashion Show: Models With Natural Hair on the Runway

jus like me nimenyoa napumzika kushikwa shikwa kichwa changu kwanza
Natural hair tamu bwana ndio maana nimenyoa.
Najipendaje sasa hivi?
Hadi najuta nilikuwa nasita nini kunyoa siku zote.

cc Valentina...ushanyoa?
Mie tayariiiiiii [emoji6]
hadi raha aisehh!
Short & Natural be trending soon?!.
Heaven Sent galpal you'll love this with your natural curls. 🙂
 
Mkuu sikuwa nikitumia hizo mambo,nilikuwa na nywele ndefu ambazo ndizo nilizozitaka.
Sikuwahi na wala sina mpango wa kuvaa wigs/weavings.
mine ngoja nkuulize umbea kwanza hivi director Joan ni 0.5?!!!!
 
I see meeeee. Nina upara sasa hivi, na hiki kichwa kilivyo kirefu kama barabara ya Dart hehe, Godfidence yangu sio ya sport sport

Harieth Paul, levels baby levels....
I can't imagine ulivyo mkyuti binti nyaki!
Binamu umeanzishiwa Uzi wa mapendo kule
 
mine ngoja nkuulize umbea kwanza hivi director Joan ni 0.5?!!!!
Ndio shida ya kufunga PM huku umbea mnautaka
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwenyewe karibia nitafunga thou...

BTW kama nimekuelewa unaulizia kwamba naye yupo kwenye gridi ya taifa?
Kama ndivyo basi rumours are...
Na mbona ni kabla hata hajaoana na huyo mumewe?
Nasikia naye ndio vile tena!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja sasa nifungue chaaaa ..
Sana tu....

Haya nenda kakubali proposal tucheze kwaito
 
Ndio shida ya kufunga PM huku umbea mnautaka
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwenyewe karibia nitafunga thou...

BTW kama nimekuelewa unaulizia kwamba naye yupo kwenye gridi ya taifa?
Kama ndivyo basi rumours are...
Na mbona ni kabla hata hajaoana na huyo mumewe?
Nasikia naye ndio vile tena!
Niliwahi kuku-pm bana nikaambiwa pm yako imefungwa, nilivyotoka msibani

0.5 inamaanisha half cast nafikiri
 
I see meeeee. Nina upara sasa hivi, na hiki kichwa kilivyo kirefu kama barabara ya Dart hehe, Godfidence yangu sio ya sport sport

Harieth Paul, levels baby levels....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiiiiiii upara hapana aiseee
Napenda afro fulani hivi amazing.
Niipatie na products za nywele fupi...weeee [emoji39] [emoji39]

Aliyeni inspire kunyoa ni K-Lyn
Design we look alike hivi...
Heheeeeee
Nikaona bora nimuige mazima.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiiiiiii upara hapana aiseee
Napenda afro fulani hivi amazing.
Niipatie na products za nywele fupi...weeee [emoji39] [emoji39]

Aliyeni inspire kunyoa ni K-Lyn
Design we looks alike hivi...
Heheeeeee
Nikaona bora nimuige mazima.
Ha ha sio kipara kabisa bana. Since 2014 narock rough dreads, nasuka then napunguza kidogo naweka rough. Nywele zilikua zimekua bana, juzi nikaenda kupunguza kidogoo hehe nimepunguzwajeee, hadi nilinuna, sio Kwa hili bichwa khaa. But nipo busy barabarani najishauaje coz I can't wear wigs aisee teh. Nina mpango wa kuweka afro fulani hivi amazing zikikua tena
 
Niliwahi kuku-pm bana nikaambiwa pm yako imefungwa, nilivyotoka msibani

0.5 inamaanisha half cast nafikiri
Niliwahi kuifunga,sasa mbona wengine wakini-PM naziona?
Yani hata sielewi.

Na hata juzi nimeangalia settings nikaona ziko sawa (niliacha option ya watakaoweza kuanzisha conversation na mimi ni wale niliowafollow pekee).

Pole mpendwa wangu.
 
Back
Top Bottom