Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Mhh bora hata ungemwita yule aliyetumwa kutoka mbinguniHapana simuiti akusute namwita akufafanulie tu.
Ila huyu Atoto mhh
Haya ngoja tumsubiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhh bora hata ungemwita yule aliyetumwa kutoka mbinguniHapana simuiti akusute namwita akufafanulie tu.
Kila mtu na taste yake mkuu.Dah hapa ndio tunapo tofautiana mimi mwanamke kama hana nywele ndefu za kwake sijui namwonaje
Nice to hear, na wewe huwa una disappear, lakini nadhani huwa umejichimbia na mavitabu.🙂
Ana stress zake huyo za yule sijui nani naskia yupo Honeymoon wapi sijui anajua HsHahaha!, ngoja afike. 😀
Ni kweli mkuu ndio maana nikakiri tunatofautianaKila mtu na taste yake mkuu.
Bae kaipenda hii ya afro na hataki hata kusikia zikirefuka.
Me mbona sijuiAna stress zake huyo za yule sijui nani naskia yupo Honeymoon wapi sijui anajua Hs
Mhhhh haya naona umeamua kudanganya ,bahati mbaya kudanganya huwezi maskini ya MunguMe mbona sijui
Aah nilijua atoto ndo yupo honeymoon eti. Kuhusu daddy nilikuwa namrusha tu roho bi mkubwaMhhhh haya naona umeamua kudanganya ,bahati mbaya kudanganya huwezi maskini ya Mungu
Wewe hamna sehemu ulikuwa unamchamba mke wa dady yako kwamba sijui dady yupo honeymoon wapi wapi huko ...kaboooooom
[emoji38][emoji38] hapo unajiona una akili nyingiiii mwenyeweAah nilijua atoto ndo yupo honeymoon eti. Kuhusu daddy nilikuwa namrusha tu roho bi mkubwa
Kweli sikukuelewa vizuri[emoji38][emoji38] hapo unajiona una akili nyingiiii mwenyewe
Aise mi bado sijanyoa mwenzangu... Watu wanavozionea huruma mpaka nasita sasa[emoji17]Natural hair tamu bwana ndio maana nimenyoa.
Najipendaje sasa hivi?
Hadi najuta nilikuwa nasita nini kunyoa siku zote.
cc Valentina...ushanyoa?
Mie tayariiiiiii [emoji6]
atoto hebu njoo ujibu hili swali 😀
Halafu shosti inabidi na sisi tu ditch ma weave, unaona nywele fupi zilivyo tamu? watu wamejidai na natural zao humu mbona mpaka nimetamani!