Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Thank you dearest [emoji120]Me too, wish you luck.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thank you dearest [emoji120]Me too, wish you luck.
Nilisikia interview yake na Millard Ayo alikuwa anazungumzia hio fashion show. She is 20 i guess!
Wewe na hilo chogo lako ukisikiliza ushauri hutanyoa!Huwa nikitaka kunyoa(as i do it often) huwa sisemi, utastukia tu tayari.
Ngoja siku niamke na mashetani nanyookea moja kwamoja kwa kinyoziUkitaka kufanya lako usimsikilize mtu.
Mimi nilitaka kunyoa tokea mwaka 2013 lakini kwakuwa nilikuwa nasikiliza watu nikawa naacha.
Kuna marafiki zangu hao walikuwa wanazipenda nywele zangu kuliko ninavyozipenda mimi.Nikisema nakata watakuja nitapelekwa saloon yaaaani!
Juzi wameshtukia tu picha nimekata
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ajabu wamenisifia badala ya kuniponda.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wewe na hilo chogo lako ukisikiliza ushauri hutanyoa!
🙂🙂🙂[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kweli kabisa, nitakatishwa tamaa hadi nijute, so nanyoa tu wanalisemaaa hadi wanalizoea.
Uwiiiiii!!! Hilo bichwa sasa!!Ngoja siku niamke na mashetani nanyookea moja kwamoja kwa kinyozi
Fahari ya macho.Acha tu, mara zote hizo sijui za nini sasa.
Lilivozuri,sio kama hilo lako bayaaUwiiiiii!!! Hilo bichwa sasa!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Uwiiiiii!!! Hilo bichwa sasa!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]